Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,466
- 11,641
Hili gari hata mi nililipanda mara moja lakini kwa uendeshaji ule ajali isingeepukika. Yule dereva sio
Jibu la swali lako ni "MADEREVA" na "SERIKALI". Jiulize dereva anaendesha basi kwa leseni daraja C aliyonunua kutoka kwa mamlaka zinazotoa leseni kama atakuwa na ufahamu wowote wa anachokifanya. Hivyo elimu ya madereva hasa sheria za barabarani ni muhimu sana kabla ya kukabidhiwa leseni. Bila hilo vifo vitaendelea kutokea na hili linasikitisha sana kwani hakuna anayejali kwa upande wa serikali, zaidi ya kusema tuko pamoja na wafiwa.hizi accidents sasa zimezidi...ni nini hasa?!rip waliofariki wote poleni majeruhi na watanzania wenzangu!
Bodi ya gari haipeleki gari upande wa pili wa barabara. Wanaopeleka hilo gari kwenye wrong side ni dereva na ile impact hata uwe na bodi nzuri bado maafa yatatokea tu. Hivyo kitu cha kufanya ni madereva kuwa waangalifu na kujali uhai wa abiria. We only live once!hii company ya kutengeneza mabody ya DAR COACH mbona magari yake yanapata ajari sana? hasa hiyo version ya body wanazoziita DIAMOND maana ni km ile ya mafinga/majinja na ile ya mikumi/FM safaris ,,hii ni ajari ya 3 ndani ya wiki 2 tu
naskia imeua 4 na hiyo nyingine imeua 6.. zimegongana uso kwa uso kitonga
dar coach nao wachunguzwe hizi body wana tumaliza
mi naona barabara za Dar to Mwanza, Dar to Mbeya, Dar to Arusha zipanuliwe ziwe njia nne, hizi njia zina magari mengi na kukosea wakati wa kuovertake kupo tu..na ufinyu wa barabara hatari ya kugongana ni kubwa...
hizi accidents sasa zimezidi...ni nini hasa?!rip waliofariki wote poleni majeruhi na watanzania wenzangu!