Basi la Hood lapata ajali Kitonga

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" width="100%"><tbody><tr><td align="left"><table bgcolor="#dddddd" border="0" cellpadding="0" cellspacing="0" height="23" width="100%"><tbody><tr><td width="606">

</td> <td align="right" width="139">photos</td> <td align="right" width="12">
</td> </tr> </tbody></table></td> </tr> <tr> <td bgcolor="#999999">
pix.gif
</td> </tr> <tr> <td class="shortnews" align="left" bgcolor="#ffffff" valign="top">
Basi la kampuni ya Hood limegongana uso kwa uso na gari la mizigo (Canter) katika eneo la Kitonga katika barabara kati ya lringa na Morogoro juzi majira ya mchana, hakuna mtu aliyejeruhiwa wala kufa katika ajali hiyo.
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->

<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Canter lililogongana na basi likiwa bondeni.
<!--ThumbBegin--> <!--ThumbEnd-->
Baadhi ya abiria wa basi wakiliangalia gari hilo la mizigo likiwa bondeni.

</td></tr></tbody></table>
 
Yale maeneo hayana sight distance kubwa, ni kona kona fupifupi sana, na mbaya zaidi huwa madereva wanakimbia sana maeneo hayo, hivyo mi sishangai kwa tukio la hivo!
Mungu saidia waathirika!
 
Back
Top Bottom