Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 37,221
- 85,361
Inategemeana ni masaa mangapi yamepita tangu gari kuharibika sheria za sumatra ni kwamba iwapo gari imeharibika inatakiwa abiria wasubili mpaka litengenezwe ndani ya masaa mawili na iwapo masaa hayo yatapita ndio abiria inatakiwa atafutiwe usafiri mbadala sasa wewe unaposema utareta ubabe nakushangaa iwapo itakua chini ya masaa mawili
Upo sahihi kabisa bwanabmkubwa.Inategemeana ni masaa mangapi yamepita tangu gari kuharibika sheria za sumatra ni kwamba iwapo gari imeharibika inatakiwa abiria wasubili mpaka litengenezwe ndani ya masaa mawili na iwapo masaa hayo yatapita ndio abiria inatakiwa atafutiwe usafiri mbadala sasa wewe unaposema utareta ubabe nakushangaa iwapo itakua chini ya masaa mawili
Linapo tokea tatizo kwenye usafiri, kwanza abiria wanatakiwa wapewe taarifa sahihi na waelewe nini kinacho endelea. Baada ya hapo nikweli abiria watatakiwa kusubiri masaa yasio zidi mawili ili gari liwe nimetengenezwa, na iwapo itakuwa tofauti na hapo basi wasafirishaji watatakiwa kuwatafutia abiria wale usafiri mwingine ama ikishindikana wenye usafiri watatakiwa kuwalipia abiria full accommodation kwa siku hiyo hadi gari litakapo tengemaa.
Sasa.....
Inapo tokea gari kuharibika na kisha wenye magari yale wakakimbia, hapo nini maana yake..??