The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
hamna basi humukilimanjaro express
umetumia vigezo gani boss maana navyojua mm ni gari za kawaida sana hizoKilimanjaro express
Dar Express
embu acha utaniTilisho.
umetumia vigezo gani boss maana navyojua mm ni gari za kawaida sana hizo
lakini hizo zote ni daraja la kati kwa mujibu wa sumatraCustomer care na usalama wa barabarani
Old skuli hayo mabus ya wazee mliokariri magari ya enzi hizo hamjui vitu vipya.Kilimanjaro express
Dar Express
Kwa zamani, sio sasaKilimanjaro express
Dar Express
BM MKUU WON'T GOING WRONG HASA UKIPANDA LILE LENYE CHOO PALE KATIKATI YA BASI NA ISISAHAU ACHabari wandugu.
Nina safari ya Arusha hivi karibuni. Naomba kufahamu gari zuri luxury naweza kupanda nikafurahia safari.
Ahsante.