Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

Kuna Kilimanjaro , Dar lux, na marangu coach kwangu ndio mazuri ila yapo mengi ila kwa huduma bora jaribu hayo
 
Ni luxury ama semi luxury?
Mkuu usijaribu kupanda hii gari, huduma yake ni mbaya sana. Haina muda maalum kutoka stendi na inaspeed utafikiri wanasafirisha samaki. Tumia kilimanjaro au marangu hutajuta
 
Ushauri mzuri. Hili ndio basi langu. Siti za two by one. Kama hupendi kubanana na hupendi stori njiani na watu usiowajua kama mimi, unachukua siti ya peke yako. Unasafiri kwa utulivu bila bughdha.
Hiyo seat ya two by one ndio ikoje mkuu?
 
1. Tahmeed ♨
2. BM 🔱
3. Kilimanjaro ✅
4. Dar Express
5. Esta, Kidia, Extra, Marangu, Mbazi, Machame nk
6. Dar Lux
7. Hayo mengine...
Afu hicho kialama cha fork 🔱 kinamaanishaga nini naomba kueleweshwa.
 
Afu hicho kialama cha fork 🔱 kinamaanishaga nini naomba kueleweshwa.
🔱 Alama hii ya mkuki wenye sura tatu inaonekana sawa na uma/fork ni emoji ambayo inaashiria "trident emoji" hii pia unaweza kuitumia kama ishara ya mkuki wa silaha lakini pia mara nyingi huonekana juu ya sanamu za miungu ya kirumi au kigiriki.
 
Bado hakuna mwingine mwenye sifa hizo
 
BM hutojutia!

Kaanzisha na Dar Dodoma..

Shabiby, ABC wajipange! Nilisafiri last week.

Everyday is Saturday............................... 😎
Shabiby abc kimbinyiko ni magiant huko, wajipange wale wanyonge wenye gari mbili mbili
 
Dar Lux baba lao
Dar Lux kwisha habari yake.
Matokeo ya poor management.
Hata uwe na Basi la 2 x 1 Kama huna manager mzuri Bora ununue San lg maana utakua na uhakika wa elfu sita kwa siku
 
🔱 Alama hii ya mkuki wenye sura tatu inaonekana sawa na uma/fork ni emoji ambayo inaashiria "trident emoji" hii pia unaweza kuitumia kama ishara ya mkuki wa silaha lakini pia mara nyingi huonekana juu ya sanamu za miungu ya kirumi au kigiriki.
Ndio ni trident emoji ila sasa nataka kujua wewe umemaanisha nini hasa na kama unamaanisha silaha ya mkuki ulitaka kumaanisha nini kwenye jibu lako?, samahani lakin nataka nijue tu maana yake kila wakati nikiiona nashindwa kuelewa "the basic implication" huwa wanamaanisha nini manake hata Idriss Sultan kwenye Twitter bio yake ameweka "I am 🔱" now I don't get what he actually means.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…