joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,037
Habari za asubuhi wana JF? Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani pamoja na familia zenu.
Lengo kubwa la uzi ni kwamba natarajia kusafiri kwenda mkoani Mwanza siku ya Jumatatu.
Hivyo ndugu zanguni naomba kujua ni basi gani ni zuri na lina uhakika wa kufika Mwanza mapema.
Ahsanteni sana.