Basi gani linafika mapema kwa safari ya Dar es Salaam - Mwanza

Kwa kwenda Mwanza gari zinazowahi hazizidi 3 au 4.
1. Allys....hawa ni uhakika zaidi.
2. Dar Lux/Tanzanite hawa nao wanawahi
3. Zuberi wanajitahidi kiasi chake.

Chagua Allys hutojutia...wanajua kutunza muda.
Ally’s mwanza saa 00:03 sasa sijui limewahi au limechelewa
 
Back
Top Bottom