Sikuweza kujaribu kwa sababu sikuwa na kichwa cha chaja zaidi nilikuwa na USB mfukoni tu😂😂😂 socket zinafanya kazi?
ANOTHER G,Dar-Mbeya.Huwa linaondoka Dar mchana kwenda Mbeya.Hapa na hapa limechemsha,maspana njia nzima.Ni basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Kunuka samli tena??? Kuna wengine wana panda na mifugo kama Bata, wana waweka chini ya siti, sasa hao Bata wakawa wana mng'ata abiria ambae alikuwa bishoo mmoja kavaa pensi na raba alikuwa siti ya mbele...!🤣🤣🤣Gari zote tu ambazo safari zake zina wasukuma,wamangati, wamasai , watu wa tabora , kahama ,shinyanga ,dodoma kwenda kondoa......aisee hizi gari ni hazifai kunguni, chawa, mende ustaarabu zero usiombe ukabahatika kukaa siti moja na wale wavaa mashuka wananuka samli tu muda wote wanalamba ugoro. Kuna bibi mmoja alitema kohozi nje likarudi ndani siti ya nyuma yake likamnata jamaa sikioni.
Hiyo moja kioo cha dirisha hakikuepo makonda walishikilia boks kuziba upepo mwanzo mwisho.
Hizo tripu popot
🤣🤣🤣🤣 nacheka tu hapa hadi watu wananishangaaZakaria Trans,Mwanza -Tarime.Bus lilikuwa poa tu ila ngumi sasa.1.Dereva v/s konda 2.Konda v/s abiria 3.Abiria v/s Dereva 4 .Konda na derevav/s abiria 5.Abiria v/s Abiria.Mwisho kabisa Sister wa Kikatoliki v/s Konda.
Mbuzi anakupiga busu kwa basi 🤣Kuna basi nilipanda kutoka ifakara to Dodoma, aise gari ndani Lina mifugo mingi kuliko abiria, just imagine mtu anapanda ndan ya bus amebeba mbuzi na kuku ndan ya gari,,kilicho niboa zaid nimelala usingiz kuja kushtuka nashangaa mbuzi ananilamba nywele.
Hamna basi pale....hajui kuchagua vitu vizuri.Esther pia?
PolepoleNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Al-saidyNi basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Nilikata tiketi saa 12 (tukiaminishwa linaondoka saa22.30) kwenda Arusha basi likaondoka saa 5 likiwa na abiria wachache, bwana we njia zima lina simama kusanya sanya. Mbaya zaidi mbele kidogo ya Same likaharibika,tukafika Arusha saa 11 asubuhi wakati mabasi ya kurudi Dar yameshaanza kuondoka.Ni basi gani umewahi kupanda ukajuta kabisa ukasema sitakaa nipande tena hii gari?
Kama alienda kuogelea tu ziwa Victoria ndiyo akabadili na kabila?Kumbe ww mjita[emoji23][emoji23]
Happy Africa ni LuwinzoHappy Africa, nilipanda mwaka fulani hivi kutoka Dar kwenda Njombe!! Aisee ile kampuni bora tu ilijifia kifo cha mende.
Hii ya kujinyea niliwahi kutana nayo kwenye safari flani hivi huyo kaka nilimuhurumia sanaKipindi hicho nilipanda MJ safari, gari watu wanakula muda wote, sio mayai ya kuchemsha wala mahindi ya kuchoma, hawachagui hawabagui. Mmoja tunafika Morogoro akajinyea kwenye bus, harufu yake mule ndani haifai. Nilikoma kabisa siku hio.
Route fupifupi hazina shida hata kwa bodaboda unaenda,mabadi mengi mabivu ni route ndefu,no optionSijaona comment kwa Route za Dar TANGA
Dar Arusha
TANGA Arusha
Huku Ni ustaarabu 💯
Kuna ABC nadhani wapuuzi basi mbovu mbovuSijaona comment kwa Route za Dar TANGA
Dar Arusha
TANGA Arusha
Huku Ni ustaarabu 💯
Kampuni ya kishenzi sana hii yani Safari kutoka SONGEA mpaka MOSHI lakini hawana USB chargers, dereva wanalala balaa doh!Super Feo Mwanza - Songea niliagiza mzigo wangu kutoka mwanza ukapotelea ofisini siku umefika tuu, walizungusha sana mpaka wamekuja kunilipa.