GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,602
- 127,976
Hivi mh membe anaweza kuwa mwanadiplomasia zaidi ya mh mahiga.au ndio kipendacho roho?kama ushushu basi mh mahiga pia ni zaidi
Nilijua tu nilichoandika huwez pinga kwa HojaNilichoandika sikitaka uelewe, ningeshangaa kama ungeelewa.
[/QUOTE]Mie napenda BM awe Rahisi na W/mkuu wake ae makamba ili tuanze kula bata kama enzi za kikwete.Kipindi cha kikwete kurudi home na laki kila baada ya siku mbili kama posho ilikuwa poa..Sasa hhivi hamna
Nawasilisha.
Wewe uliyeleta hoja na mimi ninayeshiriki hoja hii ya kipuuzi ni wapuuzi.Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.
Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.
Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,
Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
Membe amewashika koni ...2020 twende na MembeKada wa CCM na aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe aliyekuwa mtia nia wa urais kupitia CCM mwaka 2015, akiwa anahojiwa na ITV, mwaka 2013 alidai kwamba, yeye ana maadui 11 na kwamba ikifika mwaka 2016, wataihama Nchi.
Membe aliitoa kauli hiyo akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na kwa nafasi yake hiyo, isiyomhusisha na masuala ya ndani ya Nchi, tulitegemea ndiye Waziri wa kwanza ambaye atakuwa na maadui wachache sana nchini, achilia mbali kutokuwa nao kabisa kwani Wizara yake ina-deal zaidi na masuala ya nje ya Nchi.
Hata bungeni, Wizara ya Mambo ya Nje, ni mojawapo ya Wizara chache sana nchini ambazo huwa hazikumbani na maswali magumu bungeni na hupitishwa haraka haraka bila ugumu wowote kutoka kwa Wabunge. Ni kama ilivyo pia kwa Wizara ya Ulinzi.
Sasa, swali linakuja: Kwa kazi gani alizozifanya Bernard Membe katika uwaziri ubunge na wake toka mwaka 2000 hadi 2013, ambao ulimsababishia yeye kuwa na maadui wa mpaka kuweza kutajwa hadi kwenye Tv? Basi hata angekuwa adui 1, maadui yaani wote hao hadi11? Basi napo ungemalizana nao humu humu ndani, yaani unataka hadi wakimbilie Kenya? Ni adhabu gani uliwapangia kuwafanyia hadi uwatake wakimbilie Kenya - ulitaka kuwaua?
Kaulii hiyo ya Membe aliyoitoa kwa umma wa Watanzania ilitaka umma umuone Membe ni strong kuliko Kikwete aliyeonekana dhaifu ama? Je, hao aliowataja ni maadui wa Taifa ama ni maadui wa Membe?
Kwa statement hiyo ya Membe, nini cha kumshauri Rais Magufuli dhidi ya Membe? Na yeye Rais amfukuzie mbali ama?
Je Rais Magufuli amtake Membe kama "anaguna anyooshe mikono ajifanye kama anajukuna?
Je, Membe ndiye anayesifiwa kwa utendaji wa Sera za Mambo ya nje? Soma hapo chini.
Mh Bernard Membe, Ulishafuta kauli hii Kuhusu Rajoelina - JamiiForums
Bernard Membe: Nina maadui 11, ikifika 2016 watakimbilia Kenya! - JamiiForums
Mko bize kuchagulia ccm mgombea alafu nyie hamna uwezo wa kujichaguliaChadema tuna influence kubwa sana ya kuwachagulia ccm mgombea hata huyu mhutu ilikuwa ni influence ya chadema
Amekufunika wew na mamayako.Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!
Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.
Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.
Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,
Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
2020 Membe(ccm) vs Lissu(cdm)Mko bize kuchagulia ccm mgombea alafu nyie hamna uwezo wa kujichagulia
By the way, can you try to recall how he handled the Lake Nyasa saga as a FM. Can you, also, recall the ITV-Daima Primetime programme of Dk45 where he was a Programme Guest...uh? Did you hear what he said?
Nilijua tu nilichoandika huwez pinga kwa Hoja
Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.
View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?
Kapeleka kwa pesa yake au kodi ya Watanzania !!! Poor Tanzania, ujinga (Ignorance) ndo mtaji wa wanasiasa. Kama ungekuwa wewe, tayari ungeisha kata umeme kwao Tundu Lisu na Mbowe.Rais Magufuli ni mtu wa watu na hana wa kulinganishwa kamwe hapa nchini kwa kizazi chote cha Post-Sokoine. Amepeleka umeme hadi Chiponda ambako ndiko nyumbani kwao Bernard Membe.
View attachment 955577
Waziri wa Nishati Kalemani, akizindua kuwashwa kwa umeme katika Kijiji cha Chiponda, mkoani Lindi. Hizo ni juhudi za Rais Magufuli na slogan yake ya maendeleo hayana vyama. Anawaaibisha wenye roho za kwa nini?
Watanzania bana ...Membe kawa fundi wa diplomasia siku hizi! Miaka inaenda kasi sana! Haya ya kumuita huyu fundi ungejaribu kuyasema before 2015 huu uzi ungejaa matusi!