Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Sio mbaya kumsafisha KM wenu pale mnapoona kajichafua.
 
JPM:: ni stable man! Anawachora tu! Mambo sio rahisi kama mnavyodhani. Kwakuwa katiba ya chama inaruhusu hivi na hivi ndio mnadhani atatingishika alegeze? [emoji41][emoji41]day dream! Mtamponza tu huyo membe.
Kuwa mkweli kama kuna fear grounds Membe na Magu nani wakumshinda mwenzie, iwe nje au ndani ya Ccm
 
Ninachojua President sio mjinga anajua anachokifanya na hata washauri wake hawajalala. Hakuna Rais anayemkumbatia mshindani wake kwa mikino miwili kisa ana potential. Ilishaeleweka wazi mara baada ya kura za maoni ndani ya chama 2015 mshindani wa Rais kwenye kura za maoni za urais 2020 angekuja kuwa huyo BM.
 
Mahaba ya Chadema kwa Membe yanasitajaabisha , badala ya kumlilia Mbowe yupo gerezani wako bize kumlilia mwana ccm Membe!!!!

Kila baada ya saa moja kuna mwana Chadema anaanzisha nyuzi ya kumpromote Membe badala Mbowe.

Baada ya Mbowe kufungwa jela vijana wake wote anaowalipa kumtetea mtandaoni wamekacha kumtetea na sasa wameanza kutumia bando aliliowalipa kumtetea Membe.

Katika hali ya kawaida vijana wa Chadema na magazeti yalitakiwa yawe bize kuongelea kufungwa kwa Mbowe lakini sasa hamna chombo cha habari wala gazeti linaloandika habari za mwenyekiti ,

Bavicha na Chadema kwa ujumla macho yao yote ni kwa mwana ccm Membe!!
 
BKM ni Kangomba acha mzee JPM amnyooshe akae sawa.
 
Membe hata ule uwaziri wa mambo ya nje alikuwa hafai. Alibebwa tu kwenye ule utawala kama kina Masha, Ngeleja nk
 
Eh Mwenyezi Mungu angamilizia mbali hawa madhalimu ambao wamewaliza na kuwaletea maumivi watanzania hususan wanzanzibari.Eh Mwenyezi Mungu itapendeza zaidi ulikiwatoa kafara hawa madhalimu kabla kufunga mwaka. Amen.
 
Membe kawabana hizo p mb. Kweli kweli jiwe askia linaharisha huko
 
Hivi mh membe anaweza kuwa mwanadiplomasia zaidi ya mh mahiga.au ndio kipendacho roho?kama ushushu basi mh mahiga pia ni zaidi
 
Duu!!! Yaani msemaji mkuu Wa chama ndo kaandika pumba hizi??? Kweli membe anatisha.
 
Mie napenda BM awe Rahisi na W/mkuu wake ae makamba ili tuanze kula bata kama enzi za kikwete.Kipindi cha kikwete kurudi home na laki kila baada ya siku mbili kama posho ilikuwa poa..Sasa hhivi hamna
Nawasilisha.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…