“Ni kama sehemu ya utaratibu wa kawaida wa Katibu Mkuu kukutana na viongozi na wanachama wa CCM katika kuendelea kuimarisha umoja na mshikamano wa wanachama.”
Hizo ndo akili za ccm,pole sanaWatu hawata amini lakini nawaambia wana JF Bernard anatemeshwa uanachama! KM hakukurupuka kwa ile kauli, ile ni kauli ya kimkakati kabisa aliyotumwa kuitoa na vyombo vya kimkakati
Bernard alitakiwa atoe kauli kama ile aliyoitoa ya kujibu ili ipatikane sababu na uhalali wa kumuita iwe kwa heri au kwa shari. Inajulikana kwamba yeye hatakuja kipindi cha hivi karibuni
Kwa kufanya hivyo mchakato wa kumvua uanachama utaanza. Kitakacho tokea watajitokeza wa kumtetea kwa kupinga utaratibu utakaotakaka kumtimua Bernard kwa sababu kuthibitisha kosa lake ni vigumu
Hapo pia panasubiriwa kwa hamu kwa sababu wanatafutwa waungaji mkono wake, na wote wataopinga Bernard kuadhibiwa watachukuliwa kua ni timu Bernard na watadhibitiwa vilivyo. Udhibiti huu waweza kuhusisha vyombo kadhaa kama vile vya ukusanyaji mapato, udhibiti rushwa, vyombo vya ulinzi na usalama na hata kutumbuliwa kutoka kwenye nafasi au ajira zao
Jambo hili lina blessings za PM mstaafu ambaye siku hizi anasifiwa sana na wakuu wa chama tawala. PM mstaafu kasahau kua wafuasi wake wengi wamekua persecuted na kua victimized kwa kule tu kua waliwahi kumuunga mkono
Ahhh wapinyuki akumbatiwi kama senene Kumthibiti Membe kwa kutumia mitandao ni kumkuza jina , Rais amteue balozi nchini urusi au korea akae huko huko kama alivyofanya kwa Nchimbi maana Nchimbi Mzee wa fitina kama angelikuwapo sasa hivi ingekuwa balaa
CCM ni "Sikio lakufa ..........."Mzee Mangula uko wapi unawaachia vijana chama kinakwenda mrama... Rudi waeleze misingi ya namna ya kuongoza chama, wew ni mkongwe
Nasikia Membe alisema hawezi kwenda kumuona Bashiru kwa sababu ya njia aliyotumia kumuita kwa maana ya kutumia media/mitandao ya kijamii, hivi Membe akiacha kwenda watamfanyaje ?Huyu chakubanga bora angeuchuna tu, KM amemuita Membe kwa njia isiyo sahihi na pia amemtwika tuhuma nzito za kumhujumu Mh.Rais halafu anasema ni jambo la kawaida, yaani KM na huyu chaku wote ndiyo wale wale aliosema Zitto.
Hukuwi kucheza Bao wewe mtoto kaa pembeni! Nani kakuambia ni chademaInashangaza wengine chadema humu ila wanashabikia hili swala hapo ndio utagundua tanzania upinzani bado!!!bado saana!!
Kitu wanacho sahau ni kwamba, aliye muita Membe alitaja na sababu za kumwita kwamba ana muhujumu Rais Magufuli, saiz imekua mara umoja na mshikamano, mara korosho, yani full kujikanyaga
Nje ntii ndani ntiti, Lindi kuchele.
Koro-showNje ntii ndani ntiti, Lindi kuchele.