Bashiru Vs Membe: CCM yatoa msimamo wake kuhusu suala hilo

Inatakiwa ikifika kipindi cha uchaguzi Tanzania isimame kwanza.
Tuadress na kusolve tatizo la tume na tuwe na key figures upande wa watanzania.

Tukiwapuuza hawa wakolomije tusijeshangaa wakatushangaza!
 
Nimeshindwa kukuelewa hapo unaposema rais amfukuze membe.
Kwani kwa kipindi hicho unataka kusema kuwa magu nae angekimbilia kenya?ina maana saa hivi alipize kisasi?hapo kwa maelezo yako inaonyesha kuwa kwemye hao maadui 11 wa membe magufuli alikuwepo?
 
Usisahau kuweka namba za simu
 
Wewe nawe huna haya kabisa
Linjemba membe limezeeka fukara, linashindwa kuwalipa watu alio wahaidi kumfanyia kazi, totally bogus!
Pathetic
Hahahaa........ Usimfananishe Membe na Nape.....kweli kukariri kubaya!
 
Mm ninachofurahia ni jinsi mnavyocheza ngoma inayopigwa na ccm huku mwenyekiti wenu akiwa ndani.

Chadema mna vichwa vigumu sana sana!

Sasa kwa akili yenu mnaona kabisa pale Membe yupo kumtoa Magu 2020?
Mbowe kuwa ndani ni triki ya kiwango cha juu sana , ni mchongo mmoja makini sana ambao wachumia tumbo hawatoelewa milele.
 
Kapeleka kwa pesa yake au kodi ya Watanzania !!! Poor Tanzania, ujinga (Ignorance) ndo mtaji wa wanasiasa. Kama ungekuwa wewe, tayari ungeisha kata umeme kwao Tundu Lisu na Mbowe.
Umeona like yangu huko?
 
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM kwa niaba ya chama amejiingiza katika sakata linaloendelea lililoibuliwa na Dr Bashiru katibu Mkuu wa CCM na kuacha ukakasi zaidi badala ya kupoza joto.

Inakuwaje Pole pole aseme kwamba utaratibu wa kuitwa Mh Membe ni wa kawaida ndani ya CCM na kubainisha kuwa chama kina msimamo huo ? kweli ? Kitendo cha kujitokeza wazee akiwemo msekwa na kukosoa utaratibu uliotumika ni wazi kuwa Pole pole kachaguwa upande wake .

CCM kama chama kimechaguwa upande wa Katibu wake dr Bashiru na sio Utaratibu wa KAZI wa kuwasiliana na wanachama wake hasa waandamizi. Katika hali hio CCM na pole pole wanaendeleza mfarakano ndani ya chama badala ya kuupoza.


Nionavyo mimi, Pole Pole hajaisadia CCM lakini kaendeleza mtifuano kwa kuegemea upande wake.




Kishada
 
Hivi kuna tofauti gani kati ya pole pole na bashiru!????
 
Mzee Mangula uko wapi unawaachia vijana chama kinakwenda mrama... Rudi waeleze misingi ya namna ya kuongoza chama, wew ni mkongwe
Kabla hajawaeleza misingi bora ya uongozi,atuombe msamaha kwa kutuwekea yule mtu pale White house
 
Leo nimekuelewa kuliko siku zote safiiii[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Haaaaa jiwe ameniudhi saaana ntamchinja 2020
Nilipinduka kwenye gari wakati natoka kumpigia kura jiwe ....halafu Leo analeta mambo ya hekaya za abunuwazi kura yangu ameshaikosa
 
Daaaa pole ndo siasa
Nimepoa jinsi anavyonikera huyo mzee we acha tu sijui niseme nini...niliuguza mguu mwezi mzima ye Leo anafanya anavyotaka yeye[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…