Unapoleta maada unapaswa kuwa neutral ili upate wachangiaji wengi yaan ulivyo onyesha tu kwamba uko upande wa mbowe na babu nilisikia harufu mbaya kama umefunja yai viza.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Huyu prof kila siku yeye ni kukosoa tu wala hatoi solution. Juzi nmeona channel ten akikosoa serikali tatu.
Your take is not only free speech but also a biased hate speechMhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Kwanza niombe radhi mimi sina chama maana walioko kwenye vyama (viongozi) majority wako tu kama kwenye ajira kama zingine tu. hawana lolote ambalo naona wana la Zaidi...Kwa vyama hivi na mawazo yakina NAPE, BEN SAANE, MNJIKA do not expect me to be a political member at all....Umesahau kuwa hata hoja ya Elimu bure ni uongo kabisa haiwezekani(kwa mujibu wa chama chako).Leo Lowassa anaiunga mkono hoja hiyo ya ilani ya CHADEMA mwaka 201
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Kwanza niombe radhi mimi sina chama maana walioko kwenye vyama (viongozi) majority wako tu kama kwenye ajira kama zingine tu. hawana lolote ambalo naona wana la Zaidi...Kwa vyama hivi na mawazo yakina NAPE, BEN SAANE, MNJIKA do not expect me to be a political member at all....
Lowasa ni mpenda madaraka kama ninyi wa chama mbadala lakini kisichoelewa tatizo la nchi yetu na majawabu yake... majawabu ya matatizo ya Tanzania sio kugawa huduma yoyote bure!!!!
That is wrong regardless is coming from any part any person.
Kama mnapata mawazo mazuri lakini hivyo ndivyo mlivyo then I wish nchi yangu ingeondoa mambo ya vyama kabisa!
Mzee wengine tunafuatilia kwa makini sana haya mambo, version ya kusema mchakato na sio katiba yenyewe ilikuja baada ya wenye akili zao ku-hoji... mkakuta heri ku-edit,
Mfano wa uongo wenu ni cement TZS 5000/-,Masanduku ya Kura Mbeya etc... kuhakikisha nyumbaz zote za majani za wananchi zinaelekwa mabati...
Lakini mimi mkuu silaumu sana maana nani mwenye experience ya kuongoza (taasisi) actively kwenye viongozi wa chama chako ni Mwenyekiti wenu tu? don't tell me as board member b'se board meet only 4 times a year.
Nipe mtu aliyoongaza taaisi kama Lowasa (AICC), Sita(TIC) etc... give me from you leaders... nikuamini munayosema! Mengi yenu mnasema tu mkipewa hamuwezi... mambo mengi yenu ni ya kufikirika tu kama vile mtoto anaposema nikiwa mkubwa nataka kuwa Dr, Engineer etc.
Mimba imetoka!
Hivi usomi maana yake si kutetea kile ambacho CDM wanaona nisawa. Na kwanini suala hili lihusishwe na dini na uccm. Kumbe ukiongea dhidi ya vyama fulani vya upinzani unagusa imani za watu siyo. Huu ukereketwa wa udini na UCDM utatupeleka pabaya.Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
mbona sijaona sehemu alio taja dini hapo!!. wewe ni kipofu kwani hupendi kusikiliza maoni tofauti na mapenzi yako. jirekebishe kila mtu anaweza kutoa maoni yake na yaheshimiwe.
kusikia harufu ya mavi sio lazima uyaone. Bashiru aliwezaje kuona Watz eti wamekata tamaa?
Anataka kutuaminisha kuwa Watz wanafurahia kuitwa majangili na kuuawa na serikali yao?
Au watz wanafurahia kuona Tembo wanamalizwa na Kinana huku serikali ikikazana kuuza UNGA usiku na mchana?
Kwanini hakusema wananchi wanamekata tamaa na ccm au mbona hajasema ccm ni mimba iliyotoka?
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?
umekurupuka ebu rudia kusoma tena ulicho andika!!!. pia uliwahi kujiuliza ili kua mwenyekiti ni lazima uwe mkwe au shemeji wa mzee mmiliki wa chagadema?!!!!!! chaga saccos.
Mtoto wa mgawa chumvi wakati wa uchaguzi ni bure kabisa.
Ridhiwan,Salma,Membe na Kawambwa....Nyumba moja
Hussein Mwinyi
January Magamba
Nape mtoto wa kambo wa Moses
Adam Malima
Mathayo D.Msuya
.
.
.
.
.Vita kawawa
Zainab kawawa
Bint