Mhadhiri wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Bw. Bashiru Ally amesema upinzani hauongezeki nchini kwa sababu hakuna uwajibikaji ndani vyama na kwamba wananchi wamekata tamaa.
Amesema vyama vinaweza kuahidi katiba ndani ya siku 100 na wananchi wakakimbilia hayo matumaini hewa kumbe lengo lao na kuingia Ikulu.
Anaendelea kusema mgogoro wa Chadema umewakatisha tamaa wananchi kwani wapo watu waliowekeza nguvu,muda na fedha wakidhani wamepata chama Mbadala.Kwamba kilichotokea ni kama mimba imetoka.
Source: jamhuri jan.13-20,2014
My take:Huyu eti ni msomi.
Kinachomtia upofu ni udini au mapenzi ya uccm?