Bashiru Ali kama Wilson Mukama

Bashiru Ali kama Wilson Mukama

Ni Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,idara ya Sayansi ya Siasa.Na pia ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla.
Mkuu asante sana maana sisi wapika chapati wa Kwamtogole tunamjua Magufuli, Diamond na Ali Kiba
 
Mkuu asante sana maana sisi wapika chapati wa Kwamtogole tunamjua Magufuli, Diamond na Ali Kiba
Usijali jirani.
Nashindwa kupita hapo siku hizi kwa sababu ya tope la kuelekea kwa MANJUNJU.
 
Pale wanakwenda wenye correct heads
Mmmh! Ni wewe unayejibu???
Udsm mkwala hawana lolote vilaza kibao nimesoma nao wamemaliza pale wako hovyo..!

Tulifanya interview 5 bora usm hajaingia ata mmoja, 3 udom, 1 sua na mwingine tumain. Udsm namba saba walitakiwa mtu 5 tuu. Hawana kitu.
 
Wakongwe wa jamvi hili mtakumbuka.
JK akiwa Mwenyekiti wa CCM alisumbuliwa sana na mitandao iliyoongozwa na JF. CCM ikakosa ushawishi na kuelekea kumfia mikononi. Akaunda tume ndogo iliyoongozwa na Wilson Mukama. Tume hiyo ikajifungia na kuja document kubwa. JK akaipitia juu juu na kuja na mapendekezo yaliyozaa kujivua gamba.

Kama shukrani au ule usemi wa "Mchawi mpe mtoto akulelee", JK akamteua Wilson Mukama kuwa Katibu Mkuu wa CCM akimwacha nje mzee Makamba.

"Nimesikia" kuwa Mwenyekiti wa sasa yuko njiani kupeleka jina la Bashiru Ali kuwa Katibu Mkuu mpya wa chama na kazi yake kubwa itakuwa kusimamia urejeshwaji wa mali za chama zilizoibwa au kuuzwa kimizengwe. Je Bashiru atafanikiwa? CCM siku hizi limekuwa darasa la kutolea lecture kama lile la Mlimani alilozoea Bashiru?

Stay tuned
Yes,we will stay tuned.Ila dah,Bashiru kuwa Katibu mkuu wa CCM si sahihi kwake.Ingekuwa appropriate kama ange-stick to his profession,kwanza inampa heshima zaidi,politics is not dependable.With politics anything is possible, unaweza kufukuzwa mchana kweupe.Ila sasa shida ni kwamba hawezi kama kweli katateuliwa, kumkatalia Rais.Kwa Bashiru ni dilemma frankly.
 
Ana muda gani tangu ajiunge na CCM? Ni active member au ni wale wa kuwa na kadi mfukoni kwa ajili ya kuvizia uteuzi?
Mbona hata Jaji mkuu mst.Agustino Ramadhan alipostaafu tu akaingia kuusaka urais kupitia Ccm.Na michujo mingine alipita kuonesha kuwa alikuwa active member wa muda mrefu.Nadhani kama ulivyosema jamaa huenda anakadi zaidi ya 3 na ametegesha kotekote kusaka fursa.
 
Mbona hata Jaji mkuu mst.Agustino Ramadhan alipostaafu tu akaingia kuusaka urais kupitia Ccm.Na michujo mingine alipita kuonesha kuwa alikuwa active member wa muda mrefu.Nadhani kama ulivyosema jamaa huenda anakadi zaidi ya 3 na ametegesha kotekote kusaka fursa.
Hahahahaha! Lazima anayo kadi ya CUF Zanzibar!
 
Mmmh! Ni wewe unayejibu???
Udsm mkwala hawana lolote vilaza kibao nimesoma nao wamemaliza pale wako hovyo..!

Tulifanya interview 5 bora usm hajaingia ata mmoja, 3 udom, 1 sua na mwingine tumain. Udsm namba saba walitakiwa mtu 5 tuu. Hawana kitu.
Interview ya kitu gani? Kwa akili yako unafiki kipimo cha ubora wa chuo ni nyie mlofanya hiyo interview ? Panua fikira zako dogo. Kwa hiyo tumaini ni bora kuliko udsm kwa vipimo vyovyote uunavyovijua?
 
Interview ya kitu gani? Kwa akili yako unafiki kipimo cha ubora wa chuo ni nyie mlofanya hiyo interview ? Panua fikira zako dogo. Kwa hiyo tumaini ni bora kuliko udsm?
Sasa mamia ya graduate wa udsm, mnagaragazwa maana yake nini?? Ushamba wako endelea kukalili.
 
Kiongozi wa ccm ni mmoja tu , hawa wengine ni watia saini tu , hakuna yeyote atakayemshauri Magufuli na akaelewa , Hashauriki na wala haambiliki , kauwa ccm kwa kifo cha kikatiri mno , Hii nadhani ni kwa vile yeye mwenyewe wala wazazi hawakushiriki kuijenga .
 
Kwanza watuambie zile fedha zetu 1.5 Trilion walizipeleka wapi, ccm siku zote wana tabia ya panya!
 
Alishatunukiwa PhD japo aliisotea sana,alikuwa Tutorial Assistant wa Prof Mukandala
Kwa hiyo mkuu unanishauri nikae mbali na huyo Prof. vinginevyo nitasota sana. Kwani huyu amesotea hiyo PhD (Permanent Head Damage) kwa miaka mingapi?
 
Back
Top Bottom