Bashiru Ali kama Wilson Mukama

Bashiru Ali kama Wilson Mukama

Kwa hiyo mkuu unanishauri nikae mbali na huyo Prof. vinginevyo nitasota sana. Kwani huyu amesotea hiyo PhD (Permanent Head Damage) kwa miaka mingapi?
Kwani Prof Rwekaza bado yupo UDSM?What I know amshastaafu.Au labda anakusimamia kwakua alishapangiwa akusimamie.
Huyu bwana sidhani kama alisimamiwa na Prof Rwekaza.
 
Hata yule bwana asiyejua cha kuongea na ni PHD holder angefaa, Benson banana wanamwita
 
Njaa kama ya Mwesiga Baregu?

Prof. Mwesiga Baregu angekuwa na njaa angenyenyekea kipindi kile walipokataa kumpa mkataba baada ya kustaafu. Ajabu ni kuwa baada tu ya kumnyima mkataba vyuo vyenye akili vikamdaka.
 
Namusubiri kwa hamu aanze kazi nione atakavyoegemea upande mmoja maana kwenye mahojiano yote uwa anajifanya kubalance kati ya upinzani na chama tawala.

Ila ukimuuliza kuhusu: Marekani vs Alqaed au Israel vs Palestina basi hapepesi macho hata kidogo, misimamo yake ni bayana
 
Yes,we will stay tuned.Ila dah,Bashiru kuwa Katibu mkuu wa CCM si sahihi kwake.It's appropriate for him to stick to his profession,kwanza inampa heshima zaidi na ni dependable.With politics anything is possible and simply not dependable. Ila sasa shida ni kwamba hawezi kama kweli atateuliwa kumkatalia Rais.Kwa Bashiru ni dilemma frankly.

Yaani hii professorization of the government and ruling party, haitawaacha salama maprofesa. Hawajawahi kuwa watendaji wazuri serikalini. Atawatumia na baadaye atawatukana na kuwatumbua hadharani.
 
Mtu hata uwe na akili nyingi.kiasi gani ukiingia huko zinapukutika unabaki na kiduchu tu za kuitikia ndiyo mzee.
 
Back
Top Bottom