Bashiru Ali kama Wilson Mukama

Baija Bolobi

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
1,093
1,726
Wakongwe wa jamvi hili mtakumbuka.
JK akiwa Mwenyekiti wa CCM alisumbuliwa sana na mitandao iliyoongozwa na JF. CCM ikakosa ushawishi na kuelekea kumfia mikononi. Akaunda tume ndogo iliyoongozwa na Wilson Mukama. Tume hiyo ikajifungia na kuja document kubwa. JK akaipitia juu juu na kuja na mapendekezo yaliyozaa kujivua gamba.

Kama shukrani au ule usemi wa "Mchawi mpe mtoto akulelee", JK akamteua Wilson Mukama kuwa Katibu Mkuu wa CCM akimwacha nje mzee Makamba.

"Nimesikia" kuwa Mwenyekiti wa sasa yuko njiani kupeleka jina la Bashiru Ali kuwa Katibu Mkuu mpya wa chama na kazi yake kubwa itakuwa kusimamia urejeshwaji wa mali za chama zilizoibwa au kuuzwa kimizengwe. Je Bashiru atafanikiwa? CCM siku hizi limekuwa darasa la kutolea lecture kama lile la Mlimani alilozoea Bashiru?

Stay tuned
 
:eek::eek::oops::( All options are on the table... ebu relax.. CCM tuko vichwa vikali vingi. I myself i can be the best ever SG of CCM.. time will tell, have patience:eek:
 
Hivi bashiru ni mwanaccm!
Huwa niksikiliza DW nahisi mtu flani yupo kati kati
 
Hivi bashiru ni mwanaccm!
Huwa niksikiliza DW nahisi mtu flani yupo kati kati

Mtu asiye mwana CCM hawezi kuaminiwa kuchunguza mambo ya mali za CCM. Hiyo asignment ni mbaya sana. Unaona hata Mwenyekiti alipokabidhiwa ripoti ndani alisema kwa kuweweseka kuwa hawatafukua makaburi bali wataziba miaya lakini hapo hapo akaagiza watuhumiwa walio chini ya Katibu Mkuu na wakuu wa maidara wawashughulikie mara moja bila kusubiri vikao!

Ajabu alipotoka nje ndipo akasema lazima asafishe chama kama anavyosafisha serikalini. Hakuna aliyewahi kufunua uchi wa mamake akabaki salama. Watashughulikiwa dagaa tu.
 
Sijaona JPM akiisafisha serikali ingawa CAG amemuonesha uchafu.Akitaka aanze na aliyenunua EMVI DSM.
Namuona JPM anawahadaa the so called "WANYONGE"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom