Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Nchi hii wakijua zito alivyo mnafiki watamkimbia na atasahaulika kabisaZitto ni pumbavu sana,anataka kupima upepo wa ndagu zake dhidi ya CCMfala kweli,asubiri kwanza wanaume wamalize ziara aje kupaka kinyesi kama kawaida yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ina miaka 60 ingestaafu maana kama haikufanya kazi wakati wa Ujana itafanya Uzeeni?Ni vyema na haki ya Bashiru kukagua kazi iliyofanywa na serikali yake,maana ikifanya vibaya haitachaguliwa tena.
macson
Kwani kwenu hakuna somo la Polisi Jami au Mrundi wewe. Hapa Tanzania tuna Police Jamii na ndiyo maana tunaelewa na kuzingatia ushirikiano na Jeshi la Police Tanzania ππππππWewe ndie msemaji wa jeshi la polisi? Umeyajuwaje yote haya ?
Sis kwetu hatukusomeshwa darasani kuhusu hio polisi jamii. Ila tumejifunza uraiani jinsi hao polisi wanavyoinyanyasa jamii!Kwani kwenu hakuna somo la Polisi Jami au Mrundi wewe. Hapa Tanzania tuna Police Jamii na ndiyo maana tunaelewa na kuzingatia ushirikiano na Jeshi la Police Tanzania ππππππ
Nchi imefika mahali patamu sana ! sababu zote zipoWakati mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe akizuiwa kufanya mkutano wa hadhara na Jeshi la Polisi mkoani Kigoma leo Ijumaa Januari 17, 2020, katibu mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally ameanza ziara ya siku tatu mkoani humo.
Polisi mkoani Kigoma kupitia barua ya Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kigoma, M.R Mayunga yenye kumbukumbu namba KIG/A.24/60/VOL.1/114 ya Januari 16, 2020, wamemzuia Zitto kufanya mkutano wake leo kwa sababu za usalama na taarifa za kiintelijensia.
Akizungumza na Mwananchi leo katibu wa CCM mkoa wa Kigoma, Kajoro Vyohoroka amesema baada ya kuwasili mjini Kigoma, Dk Bashiru ataelekea eneo la Kazuramimba Wilaya ya Uvinza kwa ajili ya vikao vya ndani na viongozi wa chama na jumuiya zake.
βJumamosi Januari 18, 2020 Katibu mkuu atapokea taarifa ya utekelezaji wa ilani na kazi zilizofanyika kwa kipindi cha miaka minne katika jimbo la Kigoma Kaskazini inayoongozwa na Peter Serukamba (CCM),β amesema Vyohoroka.
Kwa mujibu wa katibu huyo, Jumapili Januari 19, 2020, Dk Bashiru aliyetokea katika ziara mkoani Tanga na kuwapokea madiwani wanane wa CUF waliojiunga CCM, atakuwa na kikao cha ndani na mabalozi wa CCM na viongozi wa chama hicho tawala na jumuiya zake.
Akizungumzia kuzuiwa kwa mkutano wa Zitto, katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano na Umma wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu amesema sababu zilizotajwa na polisi hazina mashiko na zinalenga kumzuia Zitto asitekeleze majukumu yake halali ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.
Shaibu amesema mkutano huo ulipangwa kufanyika katika viwanja vya Mwanga Center manispaa ya Kigoma Ujiji.
Chanzo: Mwananchi
Zaidi, soma: News Alert: - Jeshi la Polisi Wilaya ya Kigoma limezuia mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Zitto Kabwe
Kwani Zitto Kabwe anavyowanyonya Madiwani na kuwalazimisha wakubaliane na Mawazo yake ni haki na haki ya aina hiyo umejifunzia huko kuwaahidi Madiwani kuwapatia 10% kutoka kwenye miradi mikubwa ya Serikali. Pia hata unavyoonesha ni Msukule wa siasa hujui kinachoendelea.Sis kwetu hatukusomeshwa darasani kuhusu hio polisi jamii. Ila tumejifunza uraiani jinsi hao polisi wanavyoinyanyasa jamii!