Bashe upo kwenye kilele cha mafanikio

Bashe upo kwenye kilele cha mafanikio

Ukisema ukweli CCM wanakuona ni adui yao !! Natamani siku moja hiki chama kifutike kabisa kwenye uso wa dunia.
 
kama ukweli upo lakini ni unafiki na majungu chama hakiwezi kufa mizizi yake ni mirefu unafikiri waliokuwepo chadema watakubali kife!
 
Amani iwe kwenu.

Tunafurahi kumpata mpambanaji mpya bungeni kijana Husseini Bashe mbunge wa Nzega

Lakini labda tumkumbushe Bashe yale yote anayoyapigania kwa kupaza sauti ni maslahi yake binafsi si chama wala wananchi wake waliomtuma wa nzega.

Bashe amesahau kuwa yupo pale kwa tiketi ya CCM si vinginevyo hata anaposema afukuzwe mwenyewe ana uhakika kuwa chumba chake kipya ameshakisafisha kinamsubiri yeye.

Bashe amesahau kama kuna mtu anaitwa Kafulila alitetea maslahi ya taifa kweli bungeni lakini leo hii hata alipo potelea hatui sembuse yeye mwenye kutafuta kiki,
wanafiki waliokuzunguuka na wewe ni mmoja wa wanafiki hupenda kuanzisha migogoro nina kumbukumbu ulikuwa na mgogoro na kigwangwala usio na kichwa wala miguu.

Tunajua huna hasira na usalama wa taifa ila una hasira na John Magufuli baada ya kumshinda Lowassa na hasira zaidi ni pale kampuni yenye maslahi na nyinyi ilipolazimishwa kujiunga kwenye soko la hisa,kwani unapoitisha CCM ikufukuze wewe ni nani na una historia gani kama alifukuzwa Sophia Simba,akaondoka Kingunge, Lowassa, Seif bado CCM ipo wewe ni nani, ili nikuone shujaa anza kuondoka mwenyewe kuliko kungoja kufukuzwa ili tukusifie kua ni mpiganaji wa haki,usalama walikukamata baada ya kuwa ulitaka kuvuruga mkutano mkuu kwani uongo.

Kumbuka wanaokuchochea sasa watakukana baadae.

Kama unataka kuishambulia sana serikali rudi kule new habari kafanye kazi ya uhariri.

Tanzania ndio kwanza inaanza zama mpya za utawala wa awamu ya tano tunataka hoja zenye tija na taifa.

Hao unaowalalamikia sasa umesahau kipindi cha utawala wa rostam na lowassa uliwatumia kufanya na kuficha madhambi yenu sasa wanadai chao kwa kazi waliokufanyia walipe sasa.

kijana usiongee sana mwisho utaongea pumba!

Kamua baba Magufuli hapa kazi tu.

Tumeshaanza kuwaona sungura na ndezi!
Bashe atakua rais Kijana kabisa mwaka 2020
 
Hata mbunge wa CCM atakayelalamika juu ya utekelezaji mbovu wa bajeti ya maendeleo (34% ) bado mtaendelea kumuona hafai na mchochezi. Hivi nyinyi maCCM mpo kwa ajili ya maslahi ya Taifa (watanzania wote) ama ni kwa maslahi ya chama chenu? Bashe anawasemea watanzania wote, then unakuja hapa na kutuaminisha kwamba anafanya vile kwa maslahi yake binafsi, au unafikiri sisi watanzania hatuoni hicho akifanyacho Bashe. Go, Go, Hussein Mohamed Bashe, watanzania tuko nyuma yako.
Bashe is very bright go Bashe gooo wanakuogopa unachosema ni kweli Watanzania tunakuelewa nchi inaingia shimoni hii, watu wanafuata mkumbo na hao wanaobisha ni wachumia tumboni Bshe usiwasikilize wala kukata tamaa wewe ni shujaa kama alivyo Nape miasma kweli dame fitina kwenu mwiko.
 
Mkuu bashe ni mpambe wa mafisadi katika nchi hii rostam, chenge,lowassa na karamagi walitaka kumuangamiza mwakyembe
 
Lowasa ,kingunge alifukuzwa lini pumbavu ww au unalopoka ni mmoja Kati ya watekaji nn,kitu lina manyoya mpaka mkunduni kama kichaa poteza muda wako kufikiria haki ya nchi ulivyo jenyewe kuropoka mpuuzi sana ww
Wewe kigari kisichokuwa na ngazi hata kiswahili chako tu ni matatizo chunga vidole vya usijiandikie upuuzi kutukana watu aalaa
 
Amani iwe kwenu.

Tunafurahi kumpata mpambanaji mpya bungeni kijana Husseini Bashe mbunge wa Nzega

Lakini labda tumkumbushe Bashe yale yote anayoyapigania kwa kupaza sauti ni maslahi yake binafsi si chama wala wananchi wake waliomtuma wa nzega.

Bashe amesahau kuwa yupo pale kwa tiketi ya CCM si vinginevyo hata anaposema afukuzwe mwenyewe ana uhakika kuwa chumba chake kipya ameshakisafisha kinamsubiri yeye.

Bashe amesahau kama kuna mtu anaitwa Kafulila alitetea maslahi ya taifa kweli bungeni lakini leo hii hata alipo potelea hatui sembuse yeye mwenye kutafuta kiki,
wanafiki waliokuzunguuka na wewe ni mmoja wa wanafiki hupenda kuanzisha migogoro nina kumbukumbu ulikuwa na mgogoro na kigwangwala usio na kichwa wala miguu.

Tunajua huna hasira na usalama wa taifa ila una hasira na John Magufuli baada ya kumshinda Lowassa na hasira zaidi ni pale kampuni yenye maslahi na nyinyi ilipolazimishwa kujiunga kwenye soko la hisa,kwani unapoitisha CCM ikufukuze wewe ni nani na una historia gani kama alifukuzwa Sophia Simba,akaondoka Kingunge, Lowassa, Seif bado CCM ipo wewe ni nani, ili nikuone shujaa anza kuondoka mwenyewe kuliko kungoja kufukuzwa ili tukusifie kua ni mpiganaji wa haki,usalama walikukamata baada ya kuwa ulitaka kuvuruga mkutano mkuu kwani uongo.

Kumbuka wanaokuchochea sasa watakukana baadae.

Kama unataka kuishambulia sana serikali rudi kule new habari kafanye kazi ya uhariri.

Tanzania ndio kwanza inaanza zama mpya za utawala wa awamu ya tano tunataka hoja zenye tija na taifa.

Hao unaowalalamikia sasa umesahau kipindi cha utawala wa rostam na lowassa uliwatumia kufanya na kuficha madhambi yenu sasa wanadai chao kwa kazi waliokufanyia walipe sasa.

kijana usiongee sana mwisho utaongea pumba!

Kamua baba Magufuli hapa kazi tu.

Tumeshaanza kuwaona sungura na ndezi!
Mchwa ukikaribia kuteketea, hugeuzwa kuwa kumbikumbi.

Huyo kwa sasa ni Kumbikumbi.
 
Siwezi kushangaa nikisikia mleta uzi nae amewahi kupata degree ya chuo kikuu. Ajira kwasasa ni tatizo kubwa mno nchini; sometimes inabidi uongee usio yaamini ili tumbo lipate kitu. TABU sana.
Ndio tanzania kila mmoja ni mjuaji wala usishangae na wewe ukawa ndio mmoja wapo wa mhadhiri ulimsaidia kuipata hiyo degree
 
Mi namsubiri kama kweli anakifua kama EL...atoke mwenyewe sio kutikisa kiberiti ili afukuzwe....
Sasa hatumfutii uanachama....
Mpaka aisome namba vizuri na atoke yeye...
 
Mashimo yametiwa dawa madudu ya kila aina yanaibuka!
 
Amani iwe kwenu.

Tunafurahi kumpata mpambanaji mpya bungeni kijana Husseini Bashe mbunge wa Nzega

Lakini labda tumkumbushe Bashe yale yote anayoyapigania kwa kupaza sauti ni maslahi yake binafsi si chama wala wananchi wake waliomtuma wa nzega.

Bashe amesahau kuwa yupo pale kwa tiketi ya CCM si vinginevyo hata anaposema afukuzwe mwenyewe ana uhakika kuwa chumba chake kipya ameshakisafisha kinamsubiri yeye.

Bashe amesahau kama kuna mtu anaitwa Kafulila alitetea maslahi ya taifa kweli bungeni lakini leo hii hata alipo potelea hatui sembuse yeye mwenye kutafuta kiki,
wanafiki waliokuzunguuka na wewe ni mmoja wa wanafiki hupenda kuanzisha migogoro nina kumbukumbu ulikuwa na mgogoro na kigwangwala usio na kichwa wala miguu.

Tunajua huna hasira na usalama wa taifa ila una hasira na John Magufuli baada ya kumshinda Lowassa na hasira zaidi ni pale kampuni yenye maslahi na nyinyi ilipolazimishwa kujiunga kwenye soko la hisa,kwani unapoitisha CCM ikufukuze wewe ni nani na una historia gani kama alifukuzwa Sophia Simba,akaondoka Kingunge, Lowassa, Seif bado CCM ipo wewe ni nani, ili nikuone shujaa anza kuondoka mwenyewe kuliko kungoja kufukuzwa ili tukusifie kua ni mpiganaji wa haki,usalama walikukamata baada ya kuwa ulitaka kuvuruga mkutano mkuu kwani uongo.

Kumbuka wanaokuchochea sasa watakukana baadae.

Kama unataka kuishambulia sana serikali rudi kule new habari kafanye kazi ya uhariri.

Tanzania ndio kwanza inaanza zama mpya za utawala wa awamu ya tano tunataka hoja zenye tija na taifa.

Hao unaowalalamikia sasa umesahau kipindi cha utawala wa rostam na lowassa uliwatumia kufanya na kuficha madhambi yenu sasa wanadai chao kwa kazi waliokufanyia walipe sasa.

kijana usiongee sana mwisho utaongea pumba!

Kamua baba Magufuli hapa kazi tu.

Tumeshaanza kuwaona sungura na ndezi!
Na hajuhi ukisha fika peak kuendelea kubaki pale ni majariwa, linalowezekana haraka ni yeye ama kushuka mwenyewe ama kushushwa ..it is life
 
Wengi wamepita wakina shibuda sijui wapo wapi!
 
Back
Top Bottom