Bashe upo kwenye kilele cha mafanikio

Bashe upo kwenye kilele cha mafanikio

Bashe anajiona yeye ndo yeye. Juzi kwenye mkutano mkuu alijikuta yuko sehemu ambayo hakutegemea. Akumbuke hii nchi haishi peke yange. Kuna kipindi hata dili zake zitakwama maana anachochea moto kwenye chungu alichokaa mwenyewe..mwihso wake ni kuugnua tu.
 
akili za abunuwasi!
 
Meta uzi anatuthibitishia kuwa Bashe kukamatwa na TSS ilikuwa mkakati wao na chama chao.
 
Wapo kwa kazi hiyo kwa yeyote mwenye viashiria vya uvunjifu wa amani na vurugu ndani ya nchi!
 
Amani iwe kwenu.

Tunafurahi kumpata mpambanaji mpya bungeni kijana Husseini Bashe mbunge wa Nzega

Lakini labda tumkumbushe Bashe yale yote anayoyapigania kwa kupaza sauti ni maslahi yake binafsi si chama wala wananchi wake waliomtuma wa nzega.

Bashe amesahau kuwa yupo pale kwa tiketi ya CCM si vinginevyo hata anaposema afukuzwe mwenyewe ana uhakika kuwa chumba chake kipya ameshakisafisha kinamsubiri yeye.

Bashe amesahau kama kuna mtu anaitwa Kafulila alitetea maslahi ya taifa kweli bungeni lakini leo hii hata alipo potelea hatui sembuse yeye mwenye kutafuta kiki,
wanafiki waliokuzunguuka na wewe ni mmoja wa wanafiki hupenda kuanzisha migogoro nina kumbukumbu ulikuwa na mgogoro na kigwangwala usio na kichwa wala miguu.

Tunajua huna hasira na usalama wa taifa ila una hasira na John Magufuli baada ya kumshinda Lowassa na hasira zaidi ni pale kampuni yenye maslahi na nyinyi ilipolazimishwa kujiunga kwenye soko la hisa,kwani unapoitisha CCM ikufukuze wewe ni nani na una historia gani kama alifukuzwa Sophia Simba,akaondoka Kingunge, Lowassa, Seif bado CCM ipo wewe ni nani, ili nikuone shujaa anza kuondoka mwenyewe kuliko kungoja kufukuzwa ili tukusifie kua ni mpiganaji wa haki,usalama walikukamata baada ya kuwa ulitaka kuvuruga mkutano mkuu kwani uongo.

Kumbuka wanaokuchochea sasa watakukana baadae.

Kama unataka kuishambulia sana serikali rudi kule new habari kafanye kazi ya uhariri.

Tanzania ndio kwanza inaanza zama mpya za utawala wa awamu ya tano tunataka hoja zenye tija na taifa.

Hao unaowalalamikia sasa umesahau kipindi cha utawala wa rostam na lowassa uliwatumia kufanya na kuficha madhambi yenu sasa wanadai chao kwa kazi waliokufanyia walipe sasa.

kijana usiongee sana mwisho utaongea pumba!

Kamua baba Magufuli hapa kazi tu.

Tumeshaanza kuwaona sungura na ndezi!
Akili yako inaonekana ni yakuambiwa .CCM ni chama cha siasa usalama wa Taifa wanahusikaje?.na masuala ya siasa.Huoni kama hapo walitumika vibaya?.Alichoongea Bashe si kwa faida yake ni kwa watu wote.Kama usalama wa Taifa unatumika vibaya kwanini asiongee akiwa yeye ni muwakilishi wa wanainchi.na wewe ni mnafiki kama wana CCM walio vipofu kazi yao kuchumia tumbo
 
Very poor argument from a poor mind.

Mwenye busara hujibu hoja. Mleta mada alistahili kupinga mambo yaliyotamkwa na Bashe kwa hoja. Mleta mada, nadhani leo hata akikamatwa kwa kosa lolote la jinai atasema amekamatwa kwa sababu wanaomkamata hawaipendi CCM au Rais. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.

Tuna Taifa ambalo watu wengi wanajua kusoma na kuandika lakini hawana reasoning wala uwezo wa kujenga hoja.
 
Hakupaza sauti yake kipindi kile mwakyembe alipolishwa sumu wala kubenea na baregu waliumizwa,ulimboka aliteswa na alikua na sauti ya kusemea sasa anakuja kuibuka sasa kwa sababu tu maslahi yao yamedhibitiwa tuache ukasuku kukariri maneno!
 
Very poor argument from a poor mind.

Mwenye busara hujibu hoja. Mleta mada alistahili kupinga mambo yaliyotamkwa na Bashe kwa hoja. Mleta mada, nadhani leo hata akikamatwa kwa kosa lolote la jinai atasema amekamatwa kwa sababu wanaomkamata hawaipendi CCM au Rais. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.

Tuna Taifa ambalo watu wengi wanajua kusoma na kuandika lakini hawana reasoning wala uwezo wa kujenga hoja.
 
Amani iwe kwenu.

Tunafurahi kumpata mpambanaji mpya bungeni kijana Husseini Bashe mbunge wa Nzega

Lakini labda tumkumbushe Bashe yale yote anayoyapigania kwa kupaza sauti ni maslahi yake binafsi si chama wala wananchi wake waliomtuma wa nzega.

Bashe amesahau kuwa yupo pale kwa tiketi ya CCM si vinginevyo hata anaposema afukuzwe mwenyewe ana uhakika kuwa chumba chake kipya ameshakisafisha kinamsubiri yeye.

Bashe amesahau kama kuna mtu anaitwa Kafulila alitetea maslahi ya taifa kweli bungeni lakini leo hii hata alipo potelea hatui sembuse yeye mwenye kutafuta kiki,
wanafiki waliokuzunguuka na wewe ni mmoja wa wanafiki hupenda kuanzisha migogoro nina kumbukumbu ulikuwa na mgogoro na kigwangwala usio na kichwa wala miguu.

Tunajua huna hasira na usalama wa taifa ila una hasira na John Magufuli baada ya kumshinda Lowassa na hasira zaidi ni pale kampuni yenye maslahi na nyinyi ilipolazimishwa kujiunga kwenye soko la hisa,kwani unapoitisha CCM ikufukuze wewe ni nani na una historia gani kama alifukuzwa Sophia Simba,akaondoka Kingunge, Lowassa, Seif bado CCM ipo wewe ni nani, ili nikuone shujaa anza kuondoka mwenyewe kuliko kungoja kufukuzwa ili tukusifie kua ni mpiganaji wa haki,usalama walikukamata baada ya kuwa ulitaka kuvuruga mkutano mkuu kwani uongo.

Kumbuka wanaokuchochea sasa watakukana baadae.

Kama unataka kuishambulia sana serikali rudi kule new habari kafanye kazi ya uhariri.

Tanzania ndio kwanza inaanza zama mpya za utawala wa awamu ya tano tunataka hoja zenye tija na taifa.

Hao unaowalalamikia sasa umesahau kipindi cha utawala wa rostam na lowassa uliwatumia kufanya na kuficha madhambi yenu sasa wanadai chao kwa kazi waliokufanyia walipe sasa.

kijana usiongee sana mwisho utaongea pumba!

Kamua baba Magufuli hapa kazi tu.

Tumeshaanza kuwaona sungura na ndezi!
Inaonekana umetumwa sio bure
 
Very poor argument from a poor mind.

Mwenye busara hujibu hoja. Mleta mada alistahili kupinga mambo yaliyotamkwa na Bashe kwa hoja. Mleta mada, nadhani leo hata akikamatwa kwa kosa lolote la jinai atasema amekamatwa kwa sababu wanaomkamata hawaipendi CCM au Rais. Huu ni upuuzi wa hali ya juu.

Tuna Taifa ambalo watu wengi wanajua kusoma na kuandika lakini hawana reasoning wala uwezo wa kujenga hoja.
Napenda wasomi wenye kujenga hoja lakini wangapi wenye kujenga hoja hata wewe pia hukujenga hoja nasikitika pia wale unawaamini pale bungeni hawajibu hoja isipokuwa ni matusi tu kama yako wewe!
 
Lowasa ,kingunge alifukuzwa lini pumbavu ww au unalopoka ni mmoja Kati ya watekaji nn,kitu lina manyoya mpaka mkunduni kama kichaa poteza muda wako kufikiria haki ya nchi ulivyo jenyewe kuropoka mpuuzi sana ww
 
Very poor argument from a poor mind.

...

Tuna Taifa ambalo watu wengi wanajua kusoma na kuandika lakini hawana reasoning wala uwezo wa kujenga hoja.

Indeed you have argued intelligently because you don't have poor mind if not simple mind!

Hongera kwa kujitambua kuwa wewe "unajua kusoma na kuandika na una reasoning na uwezo wa kujenga hoja" kwa yale uliyoandika. Mh! Du!
 
Lowasa ,kingunge alifukuzwa lini pumbavu ww au unalopoka ni mmoja Kati ya watekaji nn,kitu lina manyoya mpaka mkunduni kama kichaa poteza muda wako kufikiria haki ya nchi ulivyo jenyewe kuropoka mpuuzi sana ww
huna uchofikiri zaidi ya viroba!
 
Back
Top Bottom