Jumanne Mkota
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,994
- 1,770
Kwa ccm hilo halipo! Hawana ujasiri huo! Ila kama watammaind pouwa tu! Tunajiongezea idad ya majimbo
Asubiri kufukuzwa hata kabla ya Uchaguzi
Asubiri kufukuzwa hata kabla ya Uchaguzi
Bashe yuko Dar sasa hiyo jana kaongelea wapi?. Au Nzenga kuna Bashe wawili Mkuu
mgombea wa ubunge nzega mjini amesema jana katika uzinduzi wa ubunge katika jimbo lake kuwa yeye ndiye anafaa kuwa mbunge lakini urais anamuunga Lowassa.
Bashe aliyasema hayo jana majira ya saa kumi na moja jion na kushangiliwa na umati wa watu.
Sina tatizo na magufuli ila kwa nafasi ya urais haimtoshi na itakuwa dhambi kubwa kumlinganisha magufuli na lowassa. Wote mimi nawajua na kiukweli sijaona atakaye ongoza nchi hii kama si Lowassa.
Tulipo kosea sisi ni kwenye uteuzi wa rais, na hapa tutajilaumu sana, ila bado mimi ninaimani na lowassa, aliongeza bashe.
View attachment 281703View attachment 281704View attachment 281623
View attachment 281705
Shamsa Ford,Aunty Ezekiel,Jacq Wolper,Joyce Kiria na Halima Mdee
View attachment 281768
View attachment 281708
View attachment 281717
View attachment 281740View attachment 281741View attachment 281742View attachment 281743
View attachment 281766View attachment 281767
View attachment 281776
Source? Basi kwa maneno haya farijianenimgombea wa ubunge nzega mjini amesema jana katika uzinduzi wa ubunge katika jimbo lake kuwa yeye ndiye anafaa kuwa mbunge lakini urais anamuunga Lowassa.
Bashe aliyasema hayo jana majira ya saa kumi na moja jion na kushangiliwa na umati wa watu.
Sina tatizo na magufuli ila kwa nafasi ya urais haimtoshi na itakuwa dhambi kubwa kumlinganisha magufuli na lowassa. Wote mimi nawajua na kiukweli sijaona atakaye ongoza nchi hii kama si Lowassa.
Tulipo kosea sisi ni kwenye uteuzi wa rais, na hapa tutajilaumu sana, ila bado mimi ninaimani na lowassa, aliongeza bashe.
Hii ni ya 2015 kwanini umeifukua leo?Source? Basi kwa maneno haya farijianeni