Bashe: Ubunge nipeni mimi, urais baba yetu Lowassa

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
mgombea wa ubunge nzega mjini amesema jana katika uzinduzi wa ubunge katika jimbo lake kuwa yeye ndiye anafaa kuwa mbunge lakini urais anamuunga Lowassa.

Bashe aliyasema hayo jana majira ya saa kumi na moja jion na kushangiliwa na umati wa watu.

Sina tatizo na magufuli ila kwa nafasi ya urais haimtoshi na itakuwa dhambi kubwa kumlinganisha magufuli na lowassa. Wote mimi nawajua na kiukweli sijaona atakaye ongoza nchi hii kama si Lowassa.

Tulipo kosea sisi ni kwenye uteuzi wa rais, na hapa tutajilaumu sana, ila bado mimi ninaimani na lowassa, aliongeza bashe.
 
mgombea wa ubunge nzega mjini amesema jana katika uzinduzi wa ubunge katika jimbo lake kuwa yeye ndiye anafaa kuwa mbunge lakini urais anamuunga lowassa.
Bashe aliyasema hayo jana majira ya saa kumi na moja jion na kushangiliwa na umati wa watu.
Sina tatizo na magufuli ila kwa nafasi ya urais haimtoshi na itakuwa dhambi kubwa kumlinganisha magufuli na lowassa. Wote mimi nawajua na kiukweli sijaona atakaye ongoza nchi hii kama si lowassa.

Mbona hajamfuata Chadema?
 
Watanzania wanaotaka mabadiliko ndo hao kina Bashe. Na bado kampeni ikinoga watasema wengi.
 
mgombea wa ubunge nzega mjini amesema jana katika uzinduzi wa ubunge katika jimbo lake kuwa yeye ndiye anafaa kuwa mbunge lakini urais anamuunga lowassa.
Bashe aliyasema hayo jana majira ya saa kumi na moja jion na kushangiliwa na umati wa watu.
Sina tatizo na magufuli ila kwa nafasi ya urais haimtoshi na itakuwa dhambi kubwa kumlinganisha magufuli na lowassa. Wote mimi nawajua na kiukweli sijaona atakaye ongoza nchi hii kama si lowassa.
Tulipo kosea sisi ni kwenye uteuzi wa rais, na hapa tutajilaumu sana, ila bado mimi ninaimani na lowassa, aliongeza bashe.

Infact Bashe kumsapoti Lowassa sina shaka nalo. Ila story yako ni uongo wa kutupwa. Bashe yupo Dar kwa sasa. Na jana kashinda nyumbani kwake Mbezi akiangalia Tv live uzinduzi wa Jangwani
 
Back
Top Bottom