Bashe: Tumeanza Utafiti wa Mbegu za GMO

Bashe: Tumeanza Utafiti wa Mbegu za GMO

Wewe unajua GMO ni nini??
Sio tu najua, bali hicho kitabu kizima kipo kichwani.

IMG_20220809_115721.jpg
 
View attachment 3127292
Tunda lolote likiwa halina mbegu kwa ndani ni tunda feki halifai kuliwa. Hili ni Tunda la Avocado aka Parachichi lililooteshwa na mbegu za kisasa aka GMO Halifai kuliwa na sio tunda zuri kwa afya ya binadamu.
View attachment 3127294
'Eliminate the processed foods.the hybrid fruits and vegetables with seeds which has positive and not a negative effect on you mucus membrane anything without a seed is foreign created in laboratory''

'Ondoa vyakula vilivyosindikwa Maviwandani . matunda na mboga chotara zenye mbegu ambazo zina athari chanya na si hasi kwenye utando wa kamasi. Chochote (Tunda) bila mbegu ni kigeni kilichoundwa Maabara'' Katika Maviwanda Hakifai kuliwa na Binadamu kina madhara Makubwa. RIP Dr.Sebi
Story za waganga wa kienyeji na conspiracy theorists tu
 
Mbegu za GMO za nini hapa nchini, huko tu ulimwengu wa kwanza wanahangaika kurudi kwenye vyakula organic kutokana na athari mambo ya GMO, ulete GMO ili hali bado uwezo wa watu kuafford tiba ni mgogoro huduma za afya tatizo, matatizo ya afya yatokanayo na matumizi ya GMO utakabilianayo vipi kwa huu hali hii iliyopo

Huyu waziri aachane na huo upuuzi wa GMO tujikite zaidi kwenye mbegu za asili au kuna namna ameonwa na hao jamaa wa GMO!!?
Sidhani kama yuko aware na hilo, wenzetu wanarudisha mbegu za asili. Wameona namna GMO zilivyo wafanya
 
Sidhani kama yuko aware na hilo, wenzetu wanarudisha mbegu za asili. Wameona namna GMO zilivyo wafanya
GMO zimewafanya nini wenzetu?
Halafu mbona kila siku mazao ya GMO yanaongezea na nchi zinazoruhusu bidhaa za GMO zinaongezeka?
Nchi gani imerudia kuzalisha mbegu za asili na ni mbegu za mazao gani?
 
Kwa nini tupinge GMO??
GMO(genetic modified organism) ni mbegu zilizobadilishwa taarifa kwenye Dna ili kutofanana na mbegu za asili,,ili kuweza kuhimili magonjwa,,ukame,,kufupisha mda wa kutoa mazao na pia kutoa mazao mengi kuliko mbegu za asili.

Lakini ni mbegu za kibiashara Kwa sababu mazao yatokanayo na mbegu zake hazizai Au hazioti mpaka ununue mbegu mpya kutoka sokoni au Kwa Yule mtengenezaji.

Pia mbegu hizo huharibu ardhi na kuifanya kuwa ngumu kupanda tena mbegu za asili.

Zaidi Kwa kuwa ni za kibiashara zina madawa na mbolea na booster ambazo zote unazipata Kwa supplier mmoja.

Kwa hio waziri Bashe ninaemheshimu Sana katika hili anacheza Ngoma asioijua..Katika hili kuna kufanana na Ile ishu ya kuuwa Tipper iliokuwa refinery ya kusafisha crude oil na kuifanya godown la kuhifadhi white products za crude oil ambazo zilikuwa zikizalishwa hapa hapa kwenye refinery petrol,,diesel,,kerosene,,hfo na lhfo...au alieuwa mashamba makubwa ya ngano ya nafco ili tuagize ngano ya ulaya.

Maamuzi kama haya angeyafanya nape ningehisi Kwa sababu ya uwezo WA kishule ni mdogo lakini huyu bwana Bashe labda pesa za kina bill gates zinatembea maana nasikia bill gates ana hekari 200,000 hapa Tanzania za kilimo.
 
Pia mbegu hizo huharibu ardhi na kuifanya kuwa ngumu kupanda tena mbegu za asili.

Zaidi Kwa kuwa ni za kibiashara zina madawa na mbolea na booster ambazo zote unazipata Kwa supplier mmoja.
Uongo mtupu
 
Hatuta kiiiii GMO
Wewe kitulize tu, GMO zitakufikia vizuri tu, ni suala la muda tu. Huwezi kushindana na teknolojia na wakati, hata chanjo za covid19 mlikomaa na hizi porojo lakini mliingia tunduni baada ya kinara wa upingaji chanjo na mhamasishaji mkuu wa uvukizaji na miti shamba naye kufikiwa.
 
Uongo mtupu
Naamini unaelewa vizuri jinsi mbolea flani na dawa za kuulia wadudu zinavyoifanya ardhi iwe tasa...Sasa kikubwa kuna watu kama bill gates wengi hawamjui kwamba ni mbwa alievaa ngozi ya kondoo...Anatamani aone kila mwanaume ni shoga kutokana na mutation inayotokana na chanjo na mazao ya kinafki anayojidai ni ya msaada...Viongozi wa tanzania wasiojali watu wake wanamkaribisha panya mharibifu bill gates kuja kuwekeza tanzania...Kwa nini hizo mbegu za kinafki asibadilishe mazao ya biashara tu kama pamba na mkonge,,,anakimbilia kwenye chakula tu huyo sheytwani kaona nini???
 
Wewe kitulize tu, GMO zitakufikia vizuri tu, ni suala la muda tu. Huwezi kushindana na teknolojia na wakati, hata chanjo za covid19 mlikomaa na hizi porojo lakini mliingia tunduni baada ya kinara wa upingaji chanjo na mhamasishaji mkuu wa uvukizaji na miti shamba naye kufikiwa.
Sijawahi chanja na sitotumia hivyo vitu.Nazalosha Mwenyewe saa ngapi nitatumia hizo GMO?

Njoo farm kwangu nafuga na kulima navyokula ila nyie makolo nawauzia GMO
 
Yani nyanya kukosa maji mengi kwako ni tatizo kubwa sana?? Halafu nyanya kuoza kwa ndani chukulia tu kama mayai au nazi, pasua katikati angalia kama ni nzima au imeoza songa na maisha mengine yaende, don't be petty.
I am not closed minded, however my concern is about poor support of preservation of our natural seeds, not petty as you suggested
 
Back
Top Bottom