Bashe: Tumeanza Utafiti wa Mbegu za GMO

Bashe: Tumeanza Utafiti wa Mbegu za GMO

Waziri Bashe hafai hata chembe kuwa Waziri wa Kilimo. Anataka kuwalisha Watu Sumu lohhhh kweli nchi yetu safari hii imepata viongozi. Mbegu za GMO ni sumu na hazifai kuliwa na binadamu yey annataka kupasisha hizo mbegu ziliwe na binadamu? Nutakunywa kupatwa na maradhi yasiyoweza kutibika kama maradhi ay figo kufeli maradhi Saratani maradhi ya Presha na maradhi mengine ya ajabu ajabu Wazungu huku ulaya wanakula vyakula vinavyotoka Afrika vyakaula vya asili nyinyi munataka kuwaiga wao waliotengeneza vyakula feki vya sumu. Ama kweli nchi yetu haina Viongozi wazuri na ambao wanaopenda wananchi wao .Mimi ninapinga vikali Waziri Bashe kuruhusu Mbegu za GMO kuliwa nchini kwetu Tanzania.
Kama Bashe anataka GMO afunge virago
Kafanya mazuri mengi tunashukuru kwa hayo mazuri kafanya ila hili la GMO afunge virago kama analitaka
 
Waziri Bashe hafai hata chembe kuwa Waziri wa Kilimo. Anataka kuwalisha Watu Sumu lohhhh kweli nchi yetu safari hii imepata viongozi. Mbegu za GMO ni sumu na hazifai kuliwa na binadamu yey annataka kupasisha hizo mbegu ziliwe na binadamu? Nutakunywa kupatwa na maradhi yasiyoweza kutibika kama maradhi ay figo kufeli maradhi Saratani maradhi ya Presha na maradhi mengine ya ajabu ajabu Wazungu huku ulaya wanakula vyakula vinavyotoka Afrika vyakaula vya asili nyinyi munataka kuwaiga wao waliotengeneza vyakula feki vya sumu. Ama kweli nchi yetu haina Viongozi wazuri na ambao wanaopenda wananchi wao .Mimi ninapinga vikali Waziri Bashe kuruhusu Mbegu za GMO kuliwa nchini kwetu Tanzania.

Haya maradhi yapo karne na karne, unaweza kuonyesha proof ya link ya cause to effect kwamba ni GMO imesababisha daktari?
 
Nenda kasome Google huko
Serikali za nchi nyingi duniani ziliishapiga marufuku ikiwemo jirani Kenya hapo na Serikali ya Tanzania ilieleza vizuri mno jiongeze na wewe sio kila kitu unatafuniwa umekaa t8 unapanua domo ubasubiri kulishwa
Nikasome nini Google?
Kwa hiyo serikali za nchi nyingi zikipiga marufuku na sisi tupige marufuku?

Mbona hujazungumzia nchi 70 zinazozalisha au kuruhusu matumizi ya GMO?

Serikali ya Tanzania ilieleza kwa nini inazuia matumizi ya GMO??
 
Hili la GMO mwambueji na Raisi ajiabdae kwa matamko ya baraza la maaskofu katoliki

Nchi ilikuwa imetulia Bashe anataka kuliamsha kupitia GMO

Hili swala ni nyeti na zito linaenda kuyumbisha nchi Usalsma wa taifa tafadhalini.Tunaelekea uchaguzi mkuu nchi inatakiwa kufika uchaguzi mkuu ikiwa na utulivu

Hayo maujinga ya GMO yaondike haraka kama waziri hawezi kanisha aindolewe uwaziri
 
Mbegu gani za asili ziko hatarini kutoweka?

Mbegu za asili zina faida gani?

Hizo mbegu za asili ambazo unazodai ziko hatarini kutoweka tutapata hasara gani zikitoweka??
Wewe mjinga umewahi enda sokoni ukakuta mbegu za mahindi ya kienyeji zile ukichoma mahindi yananukia mtaa mzima?

Umewahi tumia hata unga wa Dona wa mbegu za kienyeji ukaona jinsi ugali unanukia,mtamu na una Radha?

Maharage ya kienyeji yanaitwa dorea kwenu yapo? Pumbavu
 
Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?​

Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo.

GMO ni nini?​

Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au bakteria na kwa kawaida hufanywa ili kutambulisha sifa inayohitajika katika kiumbe, kama vile matunda makubwa au kustahimili ukame

IMG-20221024-WA0006.jpg

IMG-20221024-WA0011.jpg

IMG-20221024-WA0010.jpg

IMG-20221024-WA0009.jpg

IMG-20221024-WA0008.jpg

84d246c66eebb697a708438170f2d44d.jpg

Muhogo wa mbegu ya asili huo hapo:Tssk:

IMG-20210111-WA0014.jpg

Muhogo wa mbegu za GMO:Tssk: JE upi Muhogo Wenye Afya hapo kuliwa? Wewe uliona wapi Muhogo uwe Kama pembe za ndovu?
chanzo. Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?
 
Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?​

Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo.

GMO ni nini?​

Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au bakteria na kwa kawaida hufanywa ili kutambulisha sifa inayohitajika katika kiumbe, kama vile matunda makubwa au kustahimili ukame

IMG-20221024-WA0006.jpg

IMG-20221024-WA0011.jpg

IMG-20221024-WA0010.jpg

IMG-20221024-WA0009.jpg

IMG-20221024-WA0008.jpg

chanzo. Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?
Hatutaki kula chakula ambavyo vitabadilisha vinasaba vyetu taratibu taratibu
 
My Take
Nilitarajia Nguvu kubwa iwekezwe kwenye Benki ya mbegu za asili za mazao mbalimbali ambazo ziko hatarini kutoweka na kuzibiresha hizo badala ya hizi za GMO.

Ni vyema tukajua kama huu ndio msimamo wa Serikali.

Soungi mkono hoja hata kidogo 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBMPK-OANMO/?igsh=Z2RnNGJ2ZHUzMDZk

Hili linafanyika pale ASA

Wakala wa Mbegu za Kilimo

Mazao yanayotokana na GMO yapo mengi na mengi tu tunayatumia ikiwemo kuku wa kisasa lakini kwa sababu ni mambo kutoka nje, kelele sio nyingi. Nadhani si vibaya tukifanya tafiti zetu wenyewe tukalinganisha faida na hsara na tunatumia that risk - benefit balance kufanya maamuzi.​
 
Back
Top Bottom