Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,502
- 1,959
Huyu Mkaka ni mfuasi na mpiga debe wa Lowasa namba moja. Kama hufahamu hilo fahamu. Na yuko hata huko CCM jina tuuu na wala si mwana CCM. Muwe mnachunguza vitu kabla ya kutoa yenu ya moyoni. Na kama watamuacja CCM atawatafuna kama mchwa maana ni moja kati ya wale wengi wa EL.Huyu kaka ni msema ukweli lakini kitakachomharibia ni kuwa katika chama cha wasiopenda kuambiwa ukweli
Mlishazoea kusifiwa na kusifia hata ya hovyo, akija mwenye kuwaambia ukweli lazima atakuwa si mwenzenu, nyinyi kwa unafiki hamjambo mbonaHuyu Mkaka ni mfuasi na mpiga debe wa Lowasa namba moja. Kama hufahamu hilo fahamu. Na yuko hata huko CCM jina tuuu na wala si mwana CCM. Muwe mnachunguza vitu kabla ya kutoa yenu ya moyoni. Na kama watamuacja CCM atawatafuna kama mchwa maana ni moja kati ya wale wengi wa EL.
mkuu kwani kusema ukweli ndani ya chama cha mapinduzi, unaonekana Mchadema!!!!!!!!Bashe ni mbunge wa chadema kupitia CCM, ataisoma Namba muda sio mrefu
ndiyo maana kwenye baraza la mawaziri hutakaa umuone.Huyu Mkaka ni mfuasi na mpiga debe wa Lowasa namba moja. Kama hufahamu hilo fahamu. Na yuko hata huko CCM jina tuuu na wala si mwana CCM. Muwe mnachunguza vitu kabla ya kutoa yenu ya moyoni. Na kama watamuacja CCM atawatafuna kama mchwa maana ni moja kati ya wale wengi wa EL.
ukisema ukweli ni mpinzani,Mr RC na kasema ukweli eti anajipendekeza?anachingea wenzake.Tanzania kamwe itanak nyuma hata Tupewe Putin kutuongozaBashe ni mbunge wa chadema kupitia CCM, ataisoma Namba muda sio mrefu
Tenda haki.Kwa hiyo sisi tufanyeje sasa.
alisema ingawa hana uhusiano tena wa kisiasa na kada huyo,
Ukizungumza Universities kwa Tanzania UDSM, MUHAS na SUA tu. Vingine ni ama branding ya institutes kwa jina la University au naming ya majengo kuyaita University! Ndio maana hata hapa JF ukiona reasoning ni poor ulijue hilo!!Yaani misimamo kwako ni kuiponda ccm!! Aise hiki kizazi ni balaa. Vyuo vifutwe tu kibaki udsm pekee mana vyuo hivi vingine ni shida wanachukua had I div 3 ndo mana reasoning ya humu jf ni mdogo sana kama huyu kiwavi jeshi
Hata kama yaani wapeane Nchi kirafiki?! Isingewezekana bwana!!Dar es Salaam. Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amesema anaamini Edward Lowassa hakuenguliwa kwa haki na CCM katika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho, na kwamba waziri mkuu huyo wa zamani si pekee ambaye amekumbana na uonevu kama huo.
Bashe, ambaye ameingia bungeni kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana akipeperusha bendera ya CCM, pia amesema kashfa zote zinazoikumba Serikali hutengenezewa suluhisho kwa malengo fulani na si kutafuta muafaka wa haki.
Kiongozi huyo wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM alisema hayo katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Bashe, ambaye alikuwa kambi ya Lowassa wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, alisema ingawa hana uhusiano tena wa kisiasa na kada huyo, anaona tukio lake kuwa ni historia ya kutotendea haki wanachama wengi wa CCM. “Si Lowassa pekee, wako wengi,” alisema Bashe katika mahojiano hayo.
Kama Bashe anaamini hivyo anafanya nini CCM?Mbunge wa Nzega, Hussein Bashe amesema anaamini Edward Lowassa hakuenguliwa kwa haki na CCM katika mchakato wa kumpata mgombea urais wa chama hicho, na kwamba waziri mkuu huyo wa zamani si pekee ambaye amekumbana na uonevu kama huo.
Bashe, ambaye ameingia bungeni kwa mara ya kwanza katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana akipeperusha bendera ya CCM, pia amesema kashfa zote zinazoikumba Serikali hutengenezewa suluhisho kwa malengo fulani na si kutafuta muafaka wa haki.
Kiongozi huyo wa zamani wa Umoja wa Vijana wa CCM alisema hayo katika mahojiano maalumu na Mwananchi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.
Bashe, ambaye alikuwa kambi ya Lowassa wakati wa mchakato wa kumpata mgombea urais wa CCM, alisema ingawa hana uhusiano tena wa kisiasa na kada huyo, anaona tukio lake kuwa ni historia ya kutotendea haki wanachama wengi wa CCM. “Si Lowassa pekee, wako wengi,” alisema Bashe katika mahojiano hayo.
Chanzo: Mwananchi
Kati ya CCM na CDM wapi hawapendi kuambiwa ukweli? Chacha Wangwe alikuwa anawaambia ukweli mlimfanyaje? Said Arfi aliwaambia ukweli mlimfanyaje? Zitto kawaambia ukweli mkamfanyaje? CDM hawapendi ukweli hata siku moja na ndo maana mnapenda kujiongopea kwamba mtaongoza hii nchi hivi karibuni!!!thubutu labda nchi ya wanywa mbegeHuyu kaka ni msema ukweli lakini kitakachomharibia ni kuwa katika chama cha wasiopenda kuambiwa ukweli
Hata malecturer wao ni shida sana. Wanatutombea madada zetu tu kwa kuwatisha kuwakamata lakini wao wenyewe hawajui lolote. Kuliko mwanangu asome vyuo kama SAUT, mwalimu nyerere,st johnes na vinginevyo bora akafanye mziki tu. Niliwahi kusoma masters Mzumbe campus ya dar niliacha baada ya semester mbili. Dr badala akufundishe anakutisha kukukamata hata hajaanza kufundisha. Anajigamba tu kumbe deliverance ni zero ni kukalilishana tu. Lecturers wa Mzumbe wanawaandikia desertation wanafunzi na wanapitisha wenyewe hata kwa laki tano.Ukizungumza Universities kwa Tanzania UDSM, MUHAS na SUA tu. Vingine ni ama branding ya institutes kwa jina la University au naming ya majengo kuyaita University! Ndio maana hata hapa JF ukiona reasoning ni poor ulijue hilo!!