johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,959
- 141,954
Waziri wa Kilimo mh Bashe amewahakikishia Wakulima mjini Singida kuwa hawezi kufunga mipaka kwa sababu ya Mfumuko wa Bei inayolalamikiwa hivyo wasiwe na wasiwasi
Bashe amesema Wachumi Wana njia nyingi za kukabiliana na Mfumuko wa Bei serikali izitumie hizo
Kadhalika Bashe ameagiza Mbolea ya ruzuku ipatikane kwenye maduka husika ya pembejeo nchini Kuanzia Leo
Chanzo: ITV habari