Bashe: CCM ni waoga, wanafiki na wa kujipendekeza, hatuna sababu ya kuendelea kubaki madarakani

Ameongea ukweli lakini tatizo la haya mabunge ya commonwealth countries, party caucus zinawafanya wabunge kuwa wanafiki.

Mbaya zaidi inakuja pale serikali haitimizi wajibu wake au viongozi wake ni mzigo. Wabunge itabidi tu waitetee serikali kutokana na party caucus zao. Vivyo hivyo hata kwenye upinzani.

Unakuta wabunge wote wanakubaliana kwenye masuala yanayowagusa wao lakini hawakubaliani kwenye masuala yanayovigusa vyama vyao. Hakuna hata general consensus kwenye masuala ya kitaifa.

Bashe anaweza kuongea hivi lakini inapofika wakati wa kupitisha bajeti ya serikali inabidi tu apitishe kwa sababu ya maelekezo kutoka kwa mkuu wa party caucus yake.
umeongea pointi mkuu
 
Leo Bashe atasifiwa sana maana ameongea yanayo pendwa na Bawacha lakini kesho akiongea wasiyo yapenda kuyasikia watamtukana sana!
Kama ataongea mambo ambayo hayana afya kwa taifa na tukamsifia huo ndo unafki wenyewe sasa,kaongea point ambayo inaukweli mkubwa sana ndani yake ndo maana atasifiwa lakini akiongea mashudu lazma tumkosoe na huo utakua sio unafki

Naona wewe ushazoea unafki
 
mzee Lowassa alianda hazina ya kutosha,hongera kwake vijana wana discipline,wanajua kujenga hoja sio waropokaji sio waoga,wanamaono amakweli ukikaa uwaridi lazima utanukia..
 
kwa kutazama tu bila akili ya kushikiwa, cdm na ukawa ndo wanafiki no 1, waliosema edo fisadi baada ya kuja kwao wakabadili gia angani, ila watu 2, dr slaa, na prof. lipumba, walibaki kwenye ukweli,

ujumbe umefika, usifikiri bashe alikuwa anawaambia ccm ila cdm, ila kwa kuwa hawakusoma fasihi, wao kwa akili wakajua ni ccm, hebu pimeni maneno yake, pitien uswahiba wake na yuleeeee, halafu nenda nae mstali kwa mstali utajua amewaambia ukawa a.k.a cdm kuwa ni Wanafiki... ila kwa kuwa ni nyumbuu hawajajua hyo fasihi...

We ulisoma fasihi kinyume. Tz kuwa na vijana kama WeWe ni kurudi nyuma sana kabla ya uhuru ,

Nchi hii inahitaji vijana wasio wanafki kama bashe
 
Weka hawa pamoja waanzishe chama: Zitto...Mdee...Serukamba....Lugora....Bashe....Matiko.....Bulaya.......Nchimbi....Wenje....Tundu Lissu...Mwingulu....Muhongo....Pareso.....Gekuu...Riziki..Lema...Zungu...Mpina....Mbatia....Kafulila....Machare....Lipumba...Sakaya...etc..etc
Na vijana wote wenye msimamo wa kweli....
 
Back
Top Bottom