Bashe avua gamba

Status
Not open for further replies.

Kweli Mbowe na Slaa mbona watawaachia hizo nafasi ha ha ha chagadema
 
Bashe huyu sasa naona URAIA wake utamulikwa zaidi kaeni chonjo mtaona kama habari hii ni ya kweli .
 
Kapige kazi uliyotumwa mkuu Bashe tunajua utakuja na mrejesho mzuri kabisa....
 
[/Bkaribu mkuu CCM vichwa vinazidi kuuma]
 
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
tunamkaribisha lakini ajue chadema hawacheki na nyani,hakileta za kuleta atazikokabwe
 
kwa taarifa niliyoipata jioni hii ni kwamba Ndugu Mohamed Bashe amevua gamba na kuvaa Gwanda.
karibu aluta continue.
Vita ya mabwanyenye kuinunua cdm imeanza baada ya kupigiwa upatu kuweza kuingia madarakani. Wenyenazo wameanza kusogeza mguu mmoja cdm. Enzi ya wavuja jasho kutamba nchini je ni ndoto isiyowezekana tena?
 
Yeah!!! Wakristo na Wachagga wana haki kama Watanzania wote nchini kujiunga na chama chochote cha siasa kwa kufuata taratibu za chama husika.

Atakuwa mchagga tena Mkristo.
 
Leo hautasikia neno Al shabaab humu kisa amejiunga na Chama chetu pendwa.
 
Kwamba kafuata ubunge au???!!!


Pamoja na malengo ya kuwatumikia wananchi lazima ujuwe unawezaje kufanya utumishi wa kutukuka kisiasa bila kuwa na

platform ? platform nikiungo muhimu kukuunganisha na unaolenga kuwatumikia vinginevo hujakuwa mwanasiasa.
 
Hivi wasomali wote walioko kwenye siasa wanaitwa bashe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…