MBURE JASHA
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 200
- 46
Jf niwatu makini.umeanza kwa kukurupuka sana tafura habarikamili Kwanza ndipo u comment. naona unahamu sana yakuanzisha Chama, ccj imetokawapi hapo?
Acha ujinga!Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd, mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupitia magazeti yao.
Mazungumzo yaliyochapishwa inaonekana yalikuwa majibishano kati ya Nape na Bashe. Lakini baada ya majibishano hayo kwa lengo la kufanya 'Character assasination' Bashe ameamua kuongeza chumvi aliyoyasema Nape na kuwapa mahasimu wake (Mwanahalisi) ambao wamekuwa wakimwandika vibaya bosi wake (Rostam) ili amgombanishe na Mwenyekiti wake JK.
Bashe anaonyesha haja komaa kisiasa, pamoja na tofauti walizonazo (Nape na Bashe), Nape alimua kuitembelea New Habari bili kujali kwamba wana uhasimu wa kisiasa lakini alichokifanya Bashe ni utoto unaolenga kumwaribia Nape.
Mwandishi wa Mwanahalisi aliingiaje kwenye chumba cha habari cha New habari?
Bashe acha siasa za maji taka.
Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd, mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupitia magazeti yao.

Simtetei Nape ila alichokifanya Bashe ni ubazazi kwani huwezi kumkaribisha mtu kwako halafu ukamzushia jambo. Hayo ya JK kama naye ni gamba waazimie kumvua.

As i replied in one of the topics recently, CCM started music by the name CHENGE, LOWASA AND ROSTAM ( call it magambas) so that everybody will stand, listen and play so that we forget wat CCM has done to us, now things has change, nobody listen or play there music. Now they all try to play everybody his own music so that we can count him innocent. TOOOOOOO LAIT FOR THAT. WE NEED CHANGES. CCM GOOOO GOOOO. We are tired of you. We don't deserve on how we are fo all this 50 yrs.
WE NEED CHANGES, YES WE CAN

Kumbe ndiyo maana hata kwenye magazeti ya leo Bashe anasema mpango wa kumwondoa RA umesukwa na Nape na kundi lake. Wanafikiri Watanzania hawaoni na hawana akili?Kupitia Channel Ten leo asubuhi Mada ya Kujiuzuru kwa Rostam Azizi,Bashe alipoombwa kutoa maoni yake kuhusu hatua aliyochukua bosi wake.Kwa majibu aliyoyatoa ni kweli huyu jamaa yuko desparate na depression nayo imeingia.Hivyo kwa namna hiyo hata maneno ya mwanaharisi ni ya kuongezea chumvi.Japo wanaweza kuwa walijadiliana na kama vijana wenye kiu ya kuona kila mmoja anavutia kwake,yeye akiwa amesimama upande wa mafisadi na huyu mwingine upande wa wapinga mafisadi.Nina imani kikao cha vijana hawa wawili,ndio kimetoa dira [Vision] ambayo imemchukua maamuzi ya bosi wake kufikiwa,na kila walipotaka kupata uhakika [confirm],mmmmmmmmmmmm ggggrr aaaaaaaaaaa WAS NOT REACHABLE.Huyu unayempigia amesema yuko ..........mapumzikoni.
mkuu nimeipenda hii,wambie juzi alikuwa kakomaa,leo hajakomaa.jamani wana magamba vigeu geu.Wale waliyemuujumu NEC na kukata jina lake kwa kisingizio cha uraia walikuwa wanafanya siasa za kikubwa?haikuwa siasa ya maji taka?yeye alipoamua kuendelea kubaki CCM hata baada ya kuonewa na kudhalilishwa mbona mlimuita amekomaa kisiasa?vipi leo mbona anaonekana hajakomaa kisiasa?kweli mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!!
Maajabu kuona mtu anatunga majina mabaya kwa watu wanaoteseka kubolesha maisha yake.hata ukimtowa duniani Leo Nape,wataibuka wengi mpaka kizazi cha mafisadi kitakapo futika.wakikulipa wakina bashe kula Ila usilopoke.hapo sasa ndo mtajua ukweli wa ccj kwa unafiki huuuu aliounyesha hapo ndo huo huo aliutumia kuazisha ccj,thax bashe tena kamanda bashe najua alisema mengi yatoe yote kwa kijana mnafiki kama huyu atufai kabisa 4 our generation........bora mchawi kuliko mnafiki mnafiki anakuuwa huku akijifanya ni mwema kakwo
Maajabu kuona mtu anatunga majina mabaya kwa watu wanaoteseka kubolesha maisha yake.hata ukimtowa duniani Leo Nape,wataibuka wengi mpaka kizazi cha mafisadi kitakapo futika.wakikulipa wakina bashe kula Ila usilopoke.
Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd, mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupitia magazeti yao.
Mazungumzo yaliyochapishwa inaonekana yalikuwa majibishano kati ya Nape na Bashe. Lakini baada ya majibishano hayo kwa lengo la kufanya 'Character assasination' Bashe ameamua kuongeza chumvi aliyoyasema Nape na kuwapa mahasimu wake (Mwanahalisi) ambao wamekuwa wakimwandika vibaya bosi wake (Rostam) ili amgombanishe na Mwenyekiti wake JK.
Bashe anaonyesha haja komaa kisiasa, pamoja na tofauti walizonazo (Nape na Bashe), Nape alimua kuitembelea New Habari bili kujali kwamba wana uhasimu wa kisiasa lakini alichokifanya Bashe ni utoto unaolenga kumwaribia Nape.
Mwandishi wa Mwanahalisi aliingiaje kwenye chumba cha habari cha New habari?
Bashe acha siasa za maji taka.
Kama mazungumzo ya Jack Zoka kwenye simu yaliwahi kunaswa na mwanahalisi itashindikana ya NAPE?Gazeti la leo la Mwanahalisi limepambwa na kichwa cha habari "Nape amgeukia Kikwete" likimnukuu Nape akisema kwamba JK ndiye chanzo cha matatizo ndani ya CCM na kumtaka naye ajivue gamba. La ajabu maneno hayo yanadaiwa Nape aliyatoa akiwa kwenye chumba cha habari cha New Habari (2006) Ltd, mahasimu wakubwa wa Mwanahalisi ambao walichafuana kwa kupakana matope kupitia magazeti yao.
Mazungumzo yaliyochapishwa inaonekana yalikuwa majibishano kati ya Nape na Bashe. Lakini baada ya majibishano hayo kwa lengo la kufanya 'Character assasination' Bashe ameamua kuongeza chumvi aliyoyasema Nape na kuwapa mahasimu wake (Mwanahalisi) ambao wamekuwa wakimwandika vibaya bosi wake (Rostam) ili amgombanishe na Mwenyekiti wake JK.
Bashe anaonyesha haja komaa kisiasa, pamoja na tofauti walizonazo (Nape na Bashe), Nape alimua kuitembelea New Habari bili kujali kwamba wana uhasimu wa kisiasa lakini alichokifanya Bashe ni utoto unaolenga kumwaribia Nape.
Mwandishi wa Mwanahalisi aliingiaje kwenye chumba cha habari cha New habari?
Bashe acha siasa za maji taka.
Hahahaha siasa bhana,Bashite alitishia watakaomtoa Nape ila kituko yeye ndio akaishia ''KUMTOA'' nape.Maajabu kuona mtu anatunga majina mabaya kwa watu wanaoteseka kubolesha maisha yake.hata ukimtowa duniani Leo Nape,wataibuka wengi mpaka kizazi cha mafisadi kitakapo futika.wakikulipa wakina bashe kula Ila usilopoke.