Bashe amlipua Membe

Namkubali kwa sababu sio mnafiki, mahali alipo anakiri yupo hapo- wengi wa wanasiasa wetu huwezi kujua ana msimamo gani au anaunga mkono nini/nani!!! mmojawao akiwa ni "namba 1"
 
Namkubali kwa sababu sio mnafiki, mahali alipo anakiri yupo hapo- wengi wa wanasiasa wetu huwezi kujua ana msimamo gani au anaunga mkono nini/nani!!! mmojawao akiwa ni "namba 1"

Kafungua njia na wengine wajipambanue, maana undumila kuwili si wakati muafaka kwa sasa, anaonyesha njia ya kuandaa makundi kiupambanuzi zaidi.
 
Yeah! Kaamua kuanika ukweli, mana hali inavyokwenda bora kujipambanua kieleweke.
na kadri wanavyojipambanua ndivyo tunavyotambua umuhimu wa wao 1)kubaki madarakani au 2)kuondoka haraka iwezekanavyo!swali linabaki upeo wetu unajitosheleza kuamua na kusimamia kati 1 au 2? hii ndio changamoto!
 
Msomali huyu,ana interst gani na Tanzania kama sio kutuyumbisha tu.Watanzania bwana,wajinga sana.
 
Madaktari wameshathibitisha kwamba afya ya Lowassa ni njema kabisa. Muda huu yupo anapanga mikakati tu ya magogoni 2015.

vipi chadema,haiingii magogoni tena au itaingia kupitia a sick person mr lowassa?
 
Safi sana Hussein Bashe ! Kuna wengi sana wanakuonea wivu hata wanaanza UKABILA lakini ukweli utabaki pale pale !
 
yani ,mapoteza muda kumjadili bashe huyu wa ununio islamic seminary!
 
Haya makundi ya ccm hayataleta madhara ndani ya chama chao tu.. madhara yatakuwa kwa nchi nzima.. Watasababisha machafuko hatimae.. Seriously hatuko salama kabisa..
 
Msomali huyu,ana interst gani na Tanzania kama sio kutuyumbisha tu.Watanzania bwana,wajinga sana.
Acha hizo siasa za kibaguzi, Mpinge kwa hoja kama unayo na sio kumshambulia kwa rangi ya ngozi yake au uasilia wake.

What about Obama in America?
Je wamarekani nao ni wajinga?
 
yani ,mapoteza muda kumjadili bashe huyu wa ununio islamic seminary!
Mkuu jifunze kufikiri kwanza kabla ya kuandika humu JF.

Tuko hapa kujadili hoja yake na sio personal issues.

Ununio Islamic Seminary ina husika vipi na hoja ya Bashe?
 
Haya makundi ya ccm hayataleta madhara ndani ya chama chao tu.. madhara yatakuwa kwa nchi nzima.. Watasababisha machafuko hatimae.. Seriously hatuko salama kabisa..
Mkuu fafanua zaidi.
How yataleta machafuko?
Na kivipi hatuko salama?

Seriously i don't get you.
 
Mkuu jifunze kufikiri kwanza kabla ya kuandika humu JF.

Tuko hapa kujadili hoja yake na sio personal issues.

Ununio Islamic Seminary ina husika vipi na hoja ya Bashe?

Nimesema hivyo kuonyesha kwamba namjua na upuuzi wake naujua pia,kama unamuona mtu wa maana hulazimiki kufuata ushauri wangu,endelea kupoteza muda kwa kuwa leo j2 najua watu wengi mpo majumbani hamna cha kufanya huko, na kama ndio wewe au amekutuma hiyo kimpango wako,but nasisitiza sioni umuhimi wa kumjadili huyu haramia
 
Acha hizo siasa za kibaguzi, Mpinge kwa hoja kama unayo na sio kumshambulia kwa rangi ya ngozi yake au uasilia wake.

What about Obama in America?
Je wamarekani nao ni wajinga?
wamarekani ni kina nani kwa ufahamu wako huo mdogo?
 
Msomali huyu,ana interst gani na Tanzania kama sio kutuyumbisha tu.Watanzania bwana,wajinga sana.

Wabaguzi wa rangi kama nyie ndio tunapigana sana kuwawekea kipengele kwenye katiba ili muwe mnanyongwa kwa sababu hamchelewi kusababisha vita kwenye nchi.
 
amejifunza nini kutoka kwa Lowasa?

Anatumiwa na Lowassa kama Toilet Paper, Bashe ana credit grade A ya fitina na majungu ndani ya UVCCM...KUMBUKA SAKATA LA LOWASSA NA NAPE KUHUSU KUUZWA KIWANJA NYUMA YA MAKAO MAKUU YA UVCCM KWA MHINDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…