Bashe ni mbunifu? Kunyonya wakulima ni ubunifu? Kazuia watu binafsi waliokuwa wananunua mazao kwa bei nzuri moja kwa moja kutoka kwa wakulima badala yake kaja kwa janjajanja akiwa na boss wake Rostam wananunua mazao kwa wakulima kwa bei chee then wanawauzia hao watu binafsi waliokatazwa kununua moja kwa moja kwa wakulima. Huyu mtu ameichonganisha sana serikali na wakulima hafai hafai.Waulize wakulima wa ufuta,dengu,tumbaku nk watakwambia,huyu mtu anatakiwa afungwe kabisa