Bashe achangia 500,000 “Join the Chain”

Bashe achangia 500,000 “Join the Chain”


Hapa umenipiga kofi la uso.


Hapa ndiyo nimeamini Pasco wa jf hana chama lakini ni mfuasi wa siasa zenye misingi ya personality baada ya kugundua kuwa vyama vyote ni sawa, unfortunately, hizi siasa zimeanza kuitafuna CHADEMA baada ya kuzaa ubinafsi ndani ya chama.

I'm not optimistic kwa hili la kubandika mapato na matumizi ya chama kwa sababu dalili zinaonyesha kama vyama vikubwa nchini viko tayari kuwa pamoja (concoct) ili mapato na matumizi yaendelee kuwa siyo wazi. Refer, ile issue ya Nape Nnauye na Dr. Wilbroad Slaa kuhusu kupata pesa za wafadhili. Hata kwa nchi za magharibi ambazo ni magwiji wa demokrasia, bado kuna hot debate kuhusu political party donor. Kwa Tanzania itawezekana kweli wakati hata hizo pesa donor haijulikani anazitoa wapi achilia mbali matumizi ya vyama.
Wenzetu US hili wameliweza, every cent inayochangwa kwenye political party is published!, chama kinatoa taarifa ya mapato na matumizi including campain donations na mapato yote ya fundrising. Huku kwetu 2005 CCM campaign was funded by EPA money kupitia Kagoda. 2010 campaign was funded by Ghadaf na Arabs!. Watu tunashuhudia T-shits na kofia zikitawanywa nchi nzima huku wapiga kura wakigawiwa kiasi cha mboga na nauli ya kwenda kituo cha kupigia kura hata kama nyumba yako ni next door to kituo!.

CUF has and is always funded by Oman na Sultaned ya Brunei, ndio hao sasa wanagharimia Uamsho na kushinikiza Muungano uvunjwe wamrejeshe Sultani Zanzibar!.

Ya Chadema pia yapo, Mkuu Tumtemeke aliyamwaga humu sitaki kuyarudia because it will be adding an insult to an injury!. Ukisikia mwitikio wa michango ya M4C na matumizi yake, leaves much to be desired!. Sheria kuhusu fedha za vyama vya siasa zipo na sheria kuhusu matumizi ya ruzuku ipo wazi mahesabu yalitakiwa kukaguliwa na ofisi ya CAG na kubandikwa kwenye Audit Report ila Tendwa si lolote sii chochote ni spent force tuu anajisubiria kujipumzikia kwa amani kama alivyo Jaji Lubuva wa NEC!.

P.
 
Mkuu wanachama wa CCM wananafasi kubwa sana kutuwezesha kuingia ikulu hawa ndiyo wapiga kura wetu kwa hiyo tunapo wapata na ukijumlisha na wale ambao hawana chama kitaeleweka tu....

tuchuje sana wanaotoka ccm, maana ccm wapo busy sana kuchomeka mamluki ndani ya chadema!
 
I am lost! who is Bashe ????

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Naona Hussein Bashe anatafuta mlango wa kutokea kabla hakijanuka. Napenda anavyojuwa kusoma upepo, kabaini kwamba muda wake CCM unametameta. Chadema ugeni mwingine huo!! Sasa sijui lipi sahihi kwa Chadema: bora wageni au wageni bora?
 
Tusiwe na hulka ya kuhumu familia nzima kwakuwa tu kuna mtu mmoja anayejulikana kwenye familia ambaye ni CCM, mimi kwenye familia yetu, ni mimi tu ambaye niko CHADEMA, wengine ni makada wa CCM, lakini nimewabana kwa hoja vilivyo wanaogopa tu kuvua gamba lakini mioyo yao imegeuka! hata Bashe anaogopa tu kujivua gamba lakini moyo wake umehama CCM!
 
Back
Top Bottom