BASATA mjipange

BASATA mjipange

Nadhani shida ni nchi kuendeshwa kwa mihemuko na so sheria na taratibu za nchi.

Naanza kuelewa sasa nini maana ya muhimili ulio jichimbia chini zaidi.

Kwamba sasa inabidi watumishi sirikali wamsikilizie kwanza mzee wa front pages.
 
Basata ni taasisi huru iliyoundwa kwa mujibu wa katiba ya 1977 lakini inafanyakazi kwa uoga sana tena uliopindukia,Unafiki, kushinikizwa na watu fulani hawasimami kwenye majukumu yao. Hilo limedhirika baada ya msanii Ney the true boy kutoa ngoma ya 'wapo' inayoonyesha uozo uliopo ndani ya serikali hivyo waliamua kutumia dola ili kuzima uhalisia.





Ndugu zangu mwafaaaa
 
Walitafuka kiki ila imegoma. Wajaribu tena siku zijazo pengine mkuu atawaunga mkono.
 
Tunahitaji Basata huru na halali ndipo tutapata maendeleo lasivyo tumekwisha wimbo usio na maadili unarudi kuwa dhahabu. In fact the true boy amejitahidi kuanika kila uozo uliopo ndani na nje ya serikali tunahitaji msanii shujaa kama huyu sio kama akiba diamond kila siku ni kugombea mapenzi Wakati matatizo mengine tunayokama haya
 
Siyo Basata tu,watumishi wote wa serikali safari hii wanafanya kazi kwa uoga sana,taaluma na weledi havitumiki safari hii huko serikalini
 
BASATA wanapata amri toka juu kua wimbo fulani ufungiwe!!! Sometimes na wao hawana say.... Wanatii tu walio juu
 
BASATA wanapata amri toka juu kua wimbo fulani ufungiwe!!! Sometimes na wao hawana say.... Wanatii tu walio juu
Watakuwa waliamliwa na Bashite maana Bashite alikuwa serikali Siku hizi
 
Siyo Basata tu,watumishi wote wa serikali safari hii wanafanya kazi kwa uoga sana,taaluma na weledi havitumiki safari hii huko serikalini
Sizonje kwa maamuzi yake waweza ona ameitumbua Basata kwakuendesha uonevu
 
Basata wafungulie na wa nik am sorry JK ni mzuri kijana anaomba msamaha.Je huko mahakamani Lisu angeomba siketi ya marinda ili wahakiki kama yapo?ingekuwaje!
 
Basata na jeshi la polisi walichomfanyia the true boy aka Africast wa kisukuma sio uungwana ni sehemu ya kumvurugia mtu mipango hivyo inatakiwa hii taasisi Milo aliyetumbuliwa ili zianze kumfanya kazi kwa kufuata sheria bila siasa
 
Back
Top Bottom