Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,488
- 2,623
...comment ya kwanza tu na uzi ungeishia hapa!Reflection of our society.
Vv
...comment ya kwanza tu na uzi ungeishia hapa!Reflection of our society.
Vv
Huu wimbo umejaa matusi mno sijui hii sanaa ya hawa vijana wa bongo fleva wainaipeleka wapi ni uchafu mtupu hasa verse ya Roma nae maua kaingia mkenge katika huu wimbo wa uchafu.
Baba yake na Banana aliwasihi sana wapunguze matusi ktk nyimbo zao hawa vijana tafsida hamna kabisa BASATA fungia hawa.
Kwa sasa huwezi hata kusikiliza hizi nyimbo ukiwa na wazee wa heshima.
Hakika hawa vijana ni ngumu sana kuwafikia wakina profesa Jay.
Mshkaji toka atekwe simsomi kabisaHuu wimbo umejaa matusi mno sijui hii sanaa ya hawa vijana wa bongo fleva wainaipeleka wapi ni uchafu mtupu hasa verse ya Roma nae maua kaingia mkenge katika huu wimbo wa uchafu.
Baba yake na Banana aliwasihi sana wapunguze matusi ktk nyimbo zao hawa vijana tafsida hamna kabisa BASATA fungia hawa.
Kwa sasa huwezi hata kusikiliza hizi nyimbo ukiwa na wazee wa heshima.
Hakika hawa vijana ni ngumu sana kuwafikia wakina profesa Jay.
uume mdogo haujatajwa kwenye huo wimbo.
Yeye kasema kibamia. Kwani bamia hamzijui? Kuna bamia kubwa na ndogo. Ndogo ndiyo kibamia, na ndicho kilichoimbwa hapo!
Maua Sama-Nani anipende kwenye kitanda atanipa raha sitaki kiba_100 mwanaume mashine.
Stamina-Nikipiga shuti unadaka gizani hata bila ya taa
ROMA-Nikuhonge mali basi zidisha utundu nipe michezo hatari ninyonye mpaka mkund@
Mix kabari na shingo chini ya uvungu na unapolala chali ndo wananitoka wazungu
Mie niliuskiliza nikiwa peke yangu lakini nikajikuta naona aibu kwa ile verse aloimba roma.yaan hata haufai kuuskiliza na watu wenye heshma zaoKabisa mkuu jamaa kaoa ujinga alioimba mule kinyaa sana sijui wakwe na mashemeji wanamchukuliaje
Zimetanuliwa na kina nani wakati nyie vibamia?huu wimbo ungekuwa na maana kama mstari wa stamina wa kumwambia maua chura sio lazima kwamba ni kazi ya MUUMBA husingekuwepo. sasa swali je hiyo wanayosema kibamia sio sehemu ya kazi ya MUUMBA? sema hatupaswi kupanic maana kuimba kwa lugha tatanishi imekuwa dili siku hizi. ila kuna wanawake nao injini zimetanuka sana kwakweli dah
Asante mkuu kwa kuiweka nyimbo nzuri sana poleni jamaan na viba 100Kweli aisee! .....matusi sana. Uishie hapo kwenye Fiesta tu.