Mvimbisheni kichwa. Manji kanyooka sembuse yeye. Hivi hiyo tv yake minara iko kwenye makazi ya watu haina mionzi kweli?Hahaaaaa wamfungie basi kama uwezo wanao hahahaha hapo mmegonga mwamba, endeleeni kupiga majungu lakini Kwa Diamond mtajisumbua
Manji na Diamond hawafanani kabisa........ Na katika hizi case 2 ni sawa na kusema Diamond ni + ve na Manji ni - ve.......utaelewa baadae!Mvimbisheni kichwa. Manji kanyooka sembuse yeye. Hivi hiyo tv yake minara iko kwenye makazi ya watu haina mionzi kweli?
Unapoona madui zako wanapigana chochea zaidi kuni ili watoane damu vizuriBasata waache kupandikiza uoga wa kijinga kwa wasanii
Na ile Wasafi Tv&radio ikafunguliwe huko Sudan Kusin na sio Tz,hahahChui anapoona swala wawili wanapigana hutulia na kuutumia vizuri mgogoro huo ili kupata kitoweo, mimi nashauri diamond afungiwe kufanya usanii milele hapa Tanzania
Sema akichomoka Shonza na Mwakyembe ni bahati sanaAkichomoka hapa Diamond ni bahati ngoja tuone.
Hapana mkuu saidia kuchochea kuni na kumwagia petroli ili watoane ngeu kubwa kubwa na damu nyingiWote ni wana CCM watajua watakavyomalizana wenyewe
Hahah nimekusoma mkuuHapana mkuu saidia kuchochea kuni na kumwagia petroli ili watoane ngeu kubwa kubwa na damu nyingi