Sio janja bali pesa inaelekezwa kunakohitajika zaidi...ameonyesha njia ...tena kwa vitendo...big up sana !! Kila mbunge angeielekeza posho yake kwenye maeneo ya msingi ya jimboni kwake life would be a bit easierZitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyewe!
Siku Lema akijotoa kupokea posho za Bunge ndio utasifiajisaidie ili usaidiwe
Zitto aache janja yake! Anatupiga tu wananchi changa la macho. Hii Kigoma Development Initiative(KDI) ni NGO yake mwenyewe! So hizo allowance zinamrudia yeye mwenyewe!
Siku Lema akijotoa kupokea posho za Bunge ndio utasifia
Mw. JK Nyerere is listening to us
moral practice indeed .... well done zitto
Mh. Zitto kabwe (MB-Kigoma Kaskazini), kwa kutambua Makali ya bajeti Amemwandikia Barua katibu mkuu kumtaka asitishe malipo ya posho yake yatokanayo na vikao vya bunge. Kwa step aliyoipiga Zitto nadhani Kuna haja ya WABUNGE WOTE WA CDM kumuunga mkono nao kuacha posho zao ili kudhihirisha dhamila ya chadema kuleta maendeleo kwa watanzania. Hongera mh. Zitto Kabwe!
BTN
serikali imetoa bajeti yao je wabunge mbona hawatoi bajeti na matumiz yao ya pesa za mfuko wa bunge. Au mfuko huo wa bunge una Kinga. Wanachi tunataka kujua mipango ya wabunge juu ya pesa a mfuko ya jimbo. Tunataka kuona Financial report.
-Ni mbunge gani kawashikisha wananchi juu ya matumizi ya pesa za mfuko wa jimbo
- Ni mbunge gani hata kama hakushirikisha wananchi atoa report za matumuzi za mfuko huo
Yaani hata mtu akifanya jambo jema still anatiliwa shaka!!Mkuu nami nilikuwa nataka kujua hiyo KDI ni ya nani. Sasa kama ni ya Zito basi hapa anatudanganya ni kwamba anajipigia tu pasi ya hizo posho kutoka bungeni na kwenda kuzinyakulia KDI.
Pili, kama huo ndio msimamo wa CHADEMA mbona ni Zito peke yake anaandika barua kwa nini chama kisiandike barua? Maumivu ya kichwa huanza taraatibu, na mwazo wa goma ni lele pia mwanzo wa vurugu ni kuhitililafiana. Hapa kuna kitu; kwa nini Zitto peke yake na kwa nini si Chama? Tutafakari
great; ila angependekeza hiyo imprest ifanye kitu gani cha maendeleo, isije ikaishia kwenye other expensis za bunge!