Barua za Habil ziko wapi?

Barua za Habil ziko wapi?

Nchi masikini hii tuwalipaje 30 b kufanya cyber security tu.

Na mbona bado tunaibiwa kama kweli wanalinda?

Bora kuwalipa mgambo wa jiji walinde kwa mshahara wa laki 2 kwa mweizi kuliko kuibiwa mara mbili?
ni management and control cost haziepukiki ukiweka kampuni moja incase wakihongwa waka corrupt system nchi ina fail South Africa wana mifumo nane
 
Jamaa ni MUONGO KUPITILIZA.

Hata mtu aliyefanya kazi ya Junior Systems Admin anajua jamaa anaongea upuuzi. Hana access wala control ya mfumo wowote.

Ila kwa sababu watu hawajasoma wanaamini chochote bila kuelewa.

Eti nilimpigia simu Chair wa DP World 😂😂

Eti nimeandika barua meli za mizigo na ndege zisije nchini, na watu wanaitikia 😂😂

Hivi si mnafahamu hizo kampuni zote zina World class risk departments?

Ndege bado zinaenda Venezuela ambapo mmarekani kasanction karibu kila kitu na yupo standby kuvamia nchi itakuwa Tanzania?

Akili za kuambiwa ……..
Kama tumewasikiliza nyie toka uhuru hadi leo mnatudanganya tu kila uchaguzi sound, wacha tumsikilize na habil
 
Jamaa ni MUONGO KUPITILIZA.

Hata mtu aliyefanya kazi ya Junior Systems Admin anajua jamaa anaongea upuuzi. Hana access wala control ya mfumo wowote.
Me navyomuelewa, kama ni genuine ni kwamba ana watu ndani ya system wenye access....hiyo tumehack ni lugha tu
 
Wajinga hao bora kulipa masai walinde bot.
ahaaa ahaaaaa ahaaa mifumo inalindwa na rungu sio? google google clouds ina walinzi kampuni ngapi na ili makampuni makubwa yakubali kuweka data zao kwao ni bilions of dolar , ndo dunia inapoelekea haikwepeki tena sisi nadhani tupo nyuma sana ilitakiwa na website zote za serikali ziwe secured
 
Website za serikali gani?

Mbona kila ofisi kila kitu manual?
 
Back
Top Bottom