Barua za Habil ziko wapi?

Barua za Habil ziko wapi?

Registered_jf

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
920
Reaction score
1,454
Alisema ameandika kiapo kwenda kwa rais wa ICC chenye kurasa 168.

Alisema walituma barua kwenye mashirika ya ndege kuwaambia wasije huku kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo. Mashirika gani, mangapi?...

Alisema walituma barua kwa ofisi za mabalozi zote.

Alisema watatuma barua Mecca na kumbatanisha picha za wale mashehe ili wasiruhusiwe kwenda kuhiji huko, akaomba atumiwe picha zao (nimesahau ni mashehe wapi: waliokuwa wanaimba amani au hawa waliosema watakata watu vichwa.)

Alisema wametuma barua Red Cross na walipata majibu.

Pia Research yake ya chuo kuhusu kila nyumba ya mbongo kuwa na angalau mwendawazimu mmoja.

Naomba kuonyeshwa nyaraka hizi zilipo nikajionee.

Asante.

(PS: nimesikitika kusikia unamtishia jamaa wa ikulu kuwa utamtumia mkewe picha za mumewe akiwa na mchepuko wake. Seriously, huyo mkewe ni mzungu ama? Kwani hujui Wanawake wa huku na ndoa ni kama Samuya na urais. Hatuachii by force by fire).

Ni mimi muuza sumu ya panya kutokea Buza.
 
Alisema walituma barua kwa ofisi za mabalozi. Zipi, ngapi?...

katapeli kengine kama MANGE TU HUYOO
 
Mtafute habili......
 
Pia alisema by Friday jana watakuwa wamekamilisha barua kwenda kwa mashirika 9 yanayoleta meli bandarini, kuwa hakutakuwa na shughuli bandaralini kwahiyo wasije wasije wakapata hasara.
 
Huyo jamaa ni mhuni anawapotezea muda maboya!! Alisema atatoa taarifa ya CIA kuhusu utekaji lakini hadi sasa hamna kitu!! Pia alisema atatoa picha za satelite zikonyesha miili ya watu ikihamishwa lakini hadi sasa hamna kitu!! Kiujumla huyu jamaa ni tapel
Kuhusu CIA si alitoa link? Coz ni report ziko online. Hiyo simuhesabii kwasababu mimi mwenyewe sijafuatilia online.
 
(PS: nimesikitika kusikia unamtishia jamaa wa ikulu kuwa utamtumia mkewe picha za mumewe akiwa na mchepuko wake. Seriously, huyo mkewe ni mzungu ama? Kwani hujui Wanawake wa huku na ndoa ni kama Samuya na urais. Hatuachii by force by fire).

Ni mimi muuza sumu ya panya kutokea
Hueleweki...
 
Pia alisema by Friday jana watakuwa wamekamilisha barua kwenda kwa mashirika 9 yanayoleta meli bandarini, kuwa hakutakuwa na shughuli bandaralini kwahiyo wasije wasije wakapata hasara.
Endelea kumfuatilia, focus yetu ni D9 sio Habil wala Tabil.. D9 ndio focus hatutolewi kwenye reli
 
Mi nilisema kuongea hakutusaidii nataka matokeo.

BOT wanaendelea kama kawaida yeye alisema kashikilia website yao.

Mi nilimuomba a hack Tanesco, akate umeme ikulu zote na ofisi za bunge.

Pia ahack mitandao ya simu yote, pia jeshi la polisi kisha azime zote, a hack tcra na azime mitandao yao.

Sioni akifanya hivyo.

Mi nataka mtu atakaye tuonyesha silaha ziko wapi tukichoma moto vituo vya polisi tujichukulie silaha na risasi tujilinde wenyewe.

Kila siku anasifiwa lakini hana impact.

Atusaidie siku za maandamano akate mawasiliano ya polisi ili tupambane nao vizuri.
 
Kuhusu BOT alisema wana access. Means wana uwezo but hawajaamua, hadi muda muafaka.

If he's genuine, ni kwamba ana watu nyuma yake kutoka baadhi ya taasisi including jeshi na usalama. Haimaniishi ana watu kote hadi huko Tanesco.

Ndomana na mimi naomba hata ushahidi wa hizo barua, nijue kweli kuna effort zinaendelea huko ndani.

Otherwise hizi hotuba zake zinanikumbusha zile hotuba za "jeshi liko na sisi".
 
Focus yetu ni D9 sio Habil.. nyinyi wenye focus na Habil endeleeni kufocus na Habil focus yetu huku ni D9 sio Habil
 
Alisema ameandika kiapo kwenda kwa rais wa ICC chenye kurasa 168.

Alisema walituma barua kwenye mashirika ya ndege kuwaambia wasije huku kutakuwa na maandamano yasiyo na kikomo. Mashirika gani, mangapi?...

Alisema walituma barua kwa ofisi za mabalozi zote.

Alisema watatuma barua Mecca na kumbatanisha picha za wale mashehe ili wasiruhusiwe kwenda kuhiji huko, akaomba atumiwe picha zao (nimesahau ni mashehe wapi: waliokuwa wanaimba amani au hawa waliosema watakata watu vichwa.)

Alisema wametuma barua Red Cross na walipata majibu.

Pia Research yake ya chuo kuhusu kila nyumba ya mbongo kuwa na angalau mwendawazimu mmoja.

Naomba kuonyeshwa nyaraka hizi zilipo nikajionee.

Asante.

(PS: nimesikitika kusikia unamtishia jamaa wa ikulu kuwa utamtumia mkewe picha za mumewe akiwa na mchepuko wake. Seriously, huyo mkewe ni mzungu ama? Kwani hujui Wanawake wa huku na ndoa ni kama Samuya na urais. Hatuachii by force by fire).

Ni mimi muuza sumu ya panya kutokea Buza.
Subiri tarehe 09.12.2025
 
Back
Top Bottom