Barua za Ajira Portal

Barua za Ajira Portal

Je ukiandiaka Application letter ambayo inazidi page moja Kuna shida? Mfano page mbili hivi.

Naomben majibu
Kuna Tangazo nimelisoma leo la mamlaka ya Anga Tanzania wamesema barua ya maombi iwe ime base na wingi wa taarifa waliyotoa kwenye Tangazo,kwa nilivokua a unapaswa useme vigezo vyote nane+ walivyotaja unavyo kimoja baada ya kingine
 
Mkuu naomba kuuliza Kwenye Verification Certificate inakuaje...yaan vyeti vyangu viwe certified na mwanasheria au

hiki kipengele ni kwa waliosoma nje ya nchi so ka ulisomea Tanzania achana nacho
 
Jamani mtu yeyote aliyeomba kazi AjiraPortal aweke hapa sample yake ya barua ya maombi.. Naona Sasa kumekuwa na complications Hadi kwenye Application letter..
Sanasana kwenye title ya barua hapo Kuna mkanganyiko.
Mkiweka sample hapa itasaidia vijna wengi naona wengi wananiuliza PM.. Hii statement vijana inawatisha sana

Ila wewe hua Ni zuzu sana aisee,unawezaje kuandika barua bila kuandika title ya nafasi unayoomba na jina la taasisi husika?Yaani na Hilo suala mpk ukumbushwe Kama hivyo?[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Wakuu CV inayotumika ajira portal ni Ile ya kwao nii download alafu niiweke ?
😂😂 Daaah nmecheka sana,
Kuna mtu hajui kitu flani lkn swali analouliza inaonyesha huyu ana uelewa kichwani.

Halafu kuna mwingine anauliza swali, hilo swali linamuonyesha huyu mtu hana akili timamu.
 
Ila wewe hua Ni zuzu sana aisee,unawezaje kuandika barua bila kuandika title ya nafasi unayoomba na jina la taasisi husika?Yaani na Hilo suala mpk ukumbushwe Kama hivyo?[emoji1][emoji1][emoji1]
Aisee mambo ni ya ajabu mno, graduated hajui kuandika barua 😂😂
 
😂😂 Daaah nmecheka sana,
Kuna mtu hajui kitu flani lkn swali analouliza inaonyesha huyu ana uelewa kichwani.
Halafu kuna mwingine anauliza swali, hilo swali linamuonyesha huyu mtu hana akili timamu.
So una jibu la swali langu au?
Mkuu Kama huwezi kujibu kitu unaacha, au ungeuliza kwanini nimeuliza hivo

Nimeuliza sababu wameweka option ya ku print hiyo CV yao na kudownload, au nikuulize kwanini wameweka option hiyo?

Mimi ni Kheri nionekane fala ili nisaidiwe kuliko kuwa mjuaji
 
So una jibu la swali langu au ? ,Mkuu Kama huwezi kujibu kitu unaacha,au ungeuliza kwanini nimeuliza hivo
Nimeuliza sababu wameweka option ya ku print hiyo CV yao na kudownload ,au nikuulize kwanini wameweka option hiyo ?
Mimi ni Kheri nionekane fala ili nisaidiwe kuliko kuwa mjuaji
Ile pale ni kama muhtasari/ufupisho wa kile ulichojaza kwenye system na sio CV inayotakiwa kwenye ajira, unatakiwa ww uandae CV inayotakiwa kwenye maombi ya kazi.
 
So una jibu la swali langu au ? ,Mkuu Kama huwezi kujibu kitu unaacha,au ungeuliza kwanini nimeuliza hivo
Nimeuliza sababu wameweka option ya ku print hiyo CV yao na kudownload ,au nikuulize kwanini wameweka option hiyo ?
Mimi ni Kheri nionekane fala ili nisaidiwe kuliko kuwa mjuaji
Point yangu ni kwamba kuna baadhi ya vitu ukitumia akili za kitoto tuu unaelewa, sio mpaka utumie akili za shule.
 
hapana CV weka yako
Siyo kweli. Nimeshawahi ku apply ajira mara nne na mbili niliitwa na sikuweka cv mnayoisema hapa. Application ya Kwanza niliitwa nikaangukia pua written(ilifanyika DUCE). Ya pili sikwenda sababu niliona napoteza tuu nauli kama laki1 kwenda Dodoma, kurudi Dar na malazi) kuwania nafasi mbili watu 400. Ya tatu walinitema "academic certificates are not certified by an advocate" ilihali zile mbili za mwanzo niliitwa pasipo ku certify. Ya mwisho system ilinikataa nisi apply nikaitekenya nika apply. Majibu yakaja sina relevant qualifications. Baada ya kuanza utaratibu wa kufanya usahili Dodoma, nikaenda kuchukua mkopo wa vijana halmashauri nikaamua tuu kujiajiri mpaka leo.
NB: Wakiamua kupunguza watu wana mbinu nyingi hao jamaa
 
Back
Top Bottom