Barua yenyewe haijanifikia

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Mgonjwa wa akili alikuwa hospitali anaandika barua.Daktari akamuuliza "unamuandikia nani barua?"
Chizi akajibu "Najiandikia mwenyewe."

Daktari akaanza kucheka na kumwambia "Haya nieleze barua inasema nini?"
Chizi akajibu "Nitakuelezea vipi na barua yenyewe bado haijanifikia!"
 
mke wa jamaa na mamamkwe wanagombana
mamamkwe:nakwambia mwanangu lazima anisikilize,alinyonya ziwa hili kwa miaka miwili!hawezi kukusikiliza wewe kikaragosi!
mke:hahaha,alikunyonya miaka 2?mimi ameninyonya kwa miaka 5 na bado ananinyonya!
mamamkwe:mwanaharamu wewe,nakwambia mwanangu hakusikilizi we mbwa,nimembeba tumboni miezi 9,leo aje akusikilize we changudoa?
mke:heheheheiyaa,utajijua bibie,we ulimbeba miezi tisa akiwa na kilo 2,hah?sasa kwa miaka 5 nimekuwa nambeba kifuani kwangu kila usiku,na sasa ana kilo 90!
 
sijawahi soma kichekesho cha mgonjwa wa akili, nikaacha kucheka...teheeee
 
Mgonjwa wa akili alikuwa hospitali anaandika barua.Daktari akamuuliza "unamuandikia nani barua?"
Chizi akajibu "Najiandikia mwenyewe."

Daktari akaanza kucheka na kumwambia "Haya nieleze barua inasema nini?"
Chizi akajibu "Nitakuelezea vipi na barua yenyewe bado haijanifikia!

hahahahaha...............unaweza ukajihisi wewe doctor ndo chizi.
 
mke wa jamaa na mamamkwe wanagombana
mamamkwe:nakwambia mwanangu lazima anisikilize,alinyonya ziwa hili kwa miaka miwili!hawezi kukusikiliza wewe kikaragosi!
mke:hahaha,alikunyonya miaka 2?mimi ameninyonya kwa miaka 5 na bado ananinyonya!
mamamkwe:mwanaharamu wewe,nakwambia mwanangu hakusikilizi we mbwa,nimembeba tumboni miezi 9,leo aje akusikilize we changudoa?
mke:heheheheiyaa,utajijua bibie,we ulimbeba miezi tisa akiwa na kilo 2,hah?sasa kwa miaka 5 nimekuwa nambeba kifuani kwangu kila usiku,na sasa ana kilo 90!
loh mume ukiukuta huu ugomvi inabidi uwe mpole usiingilie hata kidogo.
 
sister kazi hapo utamsikiliza yupi,maana kila siku anataka umpe first priority ya kumsikiliza
 
Last edited by a moderator:
Mgonjwa wa akili alikuwa hospitali anaandika barua.Daktari akamuuliza "unamuandikia nani barua?"
Chizi akajibu "Najiandikia mwenyewe."

Daktari akaanza kucheka na kumwambia "Haya nieleze barua inasema nini?"
Chizi akajibu "Nitakuelezea vipi na barua yenyewe bado haijanifikia!"

Duh, kwa hiyo daktari alisubiri kwanza barua ifike?
Hahahahaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!...
 
sister kazi hapo utamsikiliza yupi,maana kila siku anataka umpe first priority ya kumsikiliza
ndo hvyo unakaa kimya tu ukiweza unaenda kwenye kiti kirefu unajipatia moja moto moja baridi mpaka muda unaenda ukirudi hme unafikia kitandani........unajilalia kimya.
 
Back
Top Bottom