Barua yangu kwako

Barua yangu kwako

Mimi kwenye mapenzi huwa sina kitu kukaa pembeni na kulalama au kuhadisia masela. Nikipigwa na chini nahakikisha nachukuwa chombo kuliko kile, hasa wakati kama huu Instagram sijui Facebook zimerahisisha kazi. Sio kama zile enzi za babu zangu mpaka upite na demu mpya kwao yule wa zamani. Huweka pic za mpenzi mpya wa zamani anaanza mafumbo mwenyewe akijileta wala sina pozi nakula halafu nampiga chini ili iwe nimemuacha sio nimeachwa.[emoji23][emoji23]


Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Mkuu nimejitahidi sana ila naona mwisho wa siku Mimi ndo najiumiza....siwezi kumkomoa
 
Kama umelijua hili upo kwenye hatua nzuri, endelea kupambana mkuu..

Mpe hela
Mpe hela
Narudia Mpe hea
Nasisitiza mpe hela
Shukrani mkuu labda nikioata hela nitaweza kumuafford na kumuweka ndani
 
Listen up man, flowers grow everywhere. If you stop living in your sad memories, you might even find a huge garden with all the best flowers in it.

By the way, i hate flowers. Their beauty will deceive you, only to fade when you pluck them and they'll never bloom again.
sure bro, they usually blossom amazingly and suddenly fade and never comeback while still you have a lot of memory towards them.....
 
daaa kwhy she kuondoka na heart yako na kukuachia ka-body kako tuu..!
pole sana.
 
Zitasahaulika tu..mbona tunafiwa na maumivu huisha..ukimrudia atakuja kukuumiza zaidi amini nikuambiayo.
Thanks mkuu ngoja nikazane labda kumove on ni uamuzi sahihi kwa wakati huu
 
Pole kibuti kinauma, kinauma mno.....yani usipokua mkakamavu kibuti kinaweza kukuacha wodini break drip ya glucose.

Ukiona dalili za kuachika heri uwahi ujiache mwenyewe na vicheko juu, ukisubiri kuachwa unahisi kama moyo umeacha mwili. Nilipigwa vibuti viwili enzi hizo SITASAHAU!!!!
Shukrani mkuu itafika muda moto utazoea maumivu haya na kuendelea mbele
 
Back
Top Bottom