Barua yangu kwa waajiriwa wote

Barua yangu kwa waajiriwa wote

Ujumbe mzuri ila aina ya uwasilishaji ni kama una cover ya ki Mungu wa upendeleo, watumishi wekezeni kwenye miradi nje na mshahara lima, fuga, real estates, shop outlets etc magàri muwe makini huyu pia ukifungua biashara kama yake anaweza akachukia dunia vurugu mechi
 
Barua yako nimeisoma na mimi kama mwajiriwa nakujibu kwamba:-

a)Usinipangie. Ndio usinipangie. Nimesoma kwa juhudi zangu na wazazi wangu."Utumwa" wangu unawanufaisha watanzania wengi na am proud kua mtumwa.

b) Kwa utumwa wangu huu, ninalipwa mshahara na posho na overtime na napata safari za kusafiri abroad ambapo napata exposure na skills mpya ambazo wewe na banda lako la viatu hapo mwenge unaota.

c) Kwa utumwa wangu huu nina biashara zangu binafsi na nimeajiri watu wanaofanya kazi na kupata kipato na kuhudumia familia zao na kulipa kodi kwa maendeleo ya nchi.Hands off, eyes on.

My take
Wewe kama uko kwenye harakati za kujiajiri acha akili zako mbaya za kudhani kila alieajiriwa hajajiajiri. In fact watu wengi walioajiriwa wana biashara zao pembeni lakini pia kuna ajira zingine zinakupa urahisi wa kujiajiri kwenye eneo fulani. Tafuta namna nzuri ya kupambana na unemployment usianze kutukana watu kama juha.

Sent from my SM-A305F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom