- Thread starter
- #61
Huyo "mmojawapo" ndiye Pinda
Kwa hili swala Pinda ameshiriki moja kwa moja.
Kuwajibika kwa hili la operesheni tokomeza na kauli yake ya 'wapigwe tu' ni stahiki yake.
Anatakiwa awajibike kwa makosa yake mwenyewe bila hata kujali collective responsibility