Barua ya Wazi kwa wanaume wote

Bidada barua tumeipokea...

Katibu kule Burigi anamalizia kurasa za mwisho ili akuletee majibu ya barua yako...

Naomba ninyamaze hadi pale atakapoleta majibu....

Tukisubiri hilo,, tunaomba utuelezeee Papuchi yenye mikosi, laana n.k na ambayo haina hvo vitu tunazitofautishaje...???
 
Ukifanikiwa kuwa na uelewa mzuri wa mambo ya kiroho na ukawa smart katika maisha ya kimwili, ni rahisi sana kupiga hatua katika maisha hasa kama utakuwa ni mwenye nidhamu ya kujisimamia.

Mtoa mada upo sahihi. Tendo la ndoa ni Ibada ya kiroho. Matokeo yake huwa mazuri au mabaya kutegemeana na yule unayekutana naye.
Je kuna namna ya kujisafisha kiroho?
 
Je kuna namna ya kujisafisha kiroho?
Ukitambua vema nguvu ya ndani uliyonayo na namna inavyofanya kazi, kuna mambo unaweza yaepusha wewe mwenyewe kwa kutumia nguvu hiyo hiyo uliyonayo ndani.


Siyo uchawi, ila kila mmoja ana nguvu ya kiroho aliyojaliwa ndani yake. Na ndiyo maana wakati mwingine mtu anaweza kudhamiria kukufanyia mabaya ila kutokana na nguvu ya ndani uliyonayo akashindwa kufanya hivyo (Maana yake Kinga yako ni kubwa).



Changamoto kubwa wengi huwa hawajui kutofautisha nguvu hizo na pia uimara wa nguvu hizo hutofautiana kutegemeana na mtu alivyo, hasa jinsi anavyojiweka yeye MWENYEWE au MAZINGIRA yake.

Kuna hisia zako za kawaida, kuna mawazo yako ya kawaida, na pia kuna nguvu ya ndani. Sasa kutofautisha hayo yote ni vema kujijua kiundani zaidi.


Kujisafisha kiroho, ni kujitambua wewe mwenyewe, kufahamu madhaifu yako, kujua namna ya kuishi nayo, na pia kuepuka yale unayohisi yanaweza dhohofisha ama kuharibu ulimwengu wako wa kiroho, moja wapo ikiwa ni kuwa makini na watu unaokutana kimwili, ama kudhibiti kufanya tendo hilo kupita kiasi.


Unapofanya tendo la ndoa na watu tofautitofauti kupita kiasi, kuna nguvu ya ndani inapungua na hata kubadilishwa kwasababu ya kuruhusu nafsi tofautitofauti kukuingia, na hili hutokea kuanzia mnapoanza kugusana kimwili kwa hisia hadi mnapoanza kubadilishana mbegu (Shahawa/Manii).
 
Back
Top Bottom