Barua ya wazi kwa Mshana Jr na Bill Lugano

Barua ya wazi kwa Mshana Jr na Bill Lugano

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,362
Reaction score
4,934
Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana

Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata

Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.

Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.

Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
 
Sijaelewa...

Ila kijana, am reminding you

Kila unalolisikia na kuliona sometimes hutakiwi kulichukulia serious namna hiyo hata kama linakuumiza kiasi gani.

Jambo lingine kama ulihitaji kufanya revenge kwa Dada yake, hukutakiwa kumueleza Dada yake anayoyafanya kaka yake, ungeenda kwa intention yako kutimiza ulilolidhamiria but, angetengeneza mazingira ya kukuumiza zaidi hisia zako kwasababu anaamini unaumia unaposikia anayofanyiwa Dada yako.

Mind your own business Boss, fanya yanayokuhusu hayo ya kwao waachia hata kama yanakuumiza kiasi gani

Best revenge ni ile inayotolewa kwa ukimya huku ukitabasamu
 
Mwenye dada hakosi shemeji, sema we shem wako ni mshkaji wako fala flani.

Umekosea sana kutumia hiyo kama sababu ya kutaka kuwa na mdogo wake kimahusiano, ni mwanamke asiejitambua angekubali huo ujinga wako. Atumike kulipiwa kisasi cha dada yako.

Mpunguze mshkaji huyo sio mwana hata kama angekuwa anamega sio kwenda kubweka mtaani.
 
Shikamoo bro Mimi ni kijana wa miaka 22 Kuna jamaa mmoja hapa mtaani kwetu ananifanya naishi Kwa maumivu makali sana

Jamaa ni mshkaji wangu anakuja home tunaenda Bandaumiza pamoja ila anatoka na dada yangu ninayemfata

Badala afanye Siri anayanya makusudi akiwa na washkaji zangu wengine anawasimulia ambavyo dada yangu anampa yote inaniumiza sana .Mimi na sister tunaheshimiana then mtu from no where Tena mshkaji kabisa anadiriki kuona uchi wa dada yangu.

Najisikia vibaya sana nimemtongoza mdogo wake nimemueleza vitu ambavyo kaka yake anamfanyia dada yangu ananicheka na yeye then hataki tuwe na mahusiano.

Huu siyo ushkaji ni unafiki na mm sitaki Kuwa na rafiki snitch nilimwambia asinifatilie afanye yake Nifanye yangu lakini bado ananifatilia kila ninapoenda nilimwambia akitaka tuendelee na urafiki aachane na dada angu siyo kumchezea ndugu yangu huku naona Kwa macho yangu tena anatamba aty anapewa yote.
Akiendelea kunifatafata cjui nimfanye kitu gani
Nenda kajifunze boxer
 
kama ni hivyo anahaki ya kugongewa dadake kwazarau
Jamaa Ananikumbusha enzi zile za Facebook ndiyo inaanza kutamba Tz.

Ushamba wa Binti mmoja wakati anachati na boyfriend wake jamaa akataka Binti atume picha ya kitumbua, Binti akaweka profile picture kwa kudhani ndiyo amemtumia mwamba.

Mwamba anasubiri picha kumbe picha ya Zaga imetumwa public Kila mtu anaona. Jamaa anaulizia picha iko wapi anajibiwa nimeshakutumia mbona. Mwamba yakamcheza machale kuangalia page ya bibie anakutana na papa imejaa profile na watu kibao wanacomment.

Kamcheki bibie afute haraka,bibie kwa kupagawa badala afute picha yeye akalog out hahaha.

Alafu password ameisahau,hawezi kulog in Tena.
 
Back
Top Bottom