barua ya utambulisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa NaPA unagoma kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB)

    National Physical Address (NaPA) kwenye kutafuta barua ya utambulisho kwa ajili ya maombi ya mkopo (HESLB) inagoma kuendelea na kutoa notification ya hivi Toka last week till now. Contacts zao walizoweka hazipatikani, kuna moja inapatikana mara moja moja na ikipatikana haipokelewi.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete achukua barua ya utambulisho CCM, kuelekea INEC kuchukua fomu ya ubunge Mchinga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mchinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mama Salma Kikwete, amewasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Lindi Mjini kwa ajili ya kuchukua barua ya utambulisho. Barua hiyo inamwezesha kuelekea katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi mkoani humo kuchukua fomu ya kugombea...
  3. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania HESLB ondoeni kipengele cha barua ya utambulisho kupitia NAPA, ni changamoto kubwa

    Bodi ya mikopo ya elimu ya juu tuoneeni huruma watanzania jamani. Hiki kipengele Cha kuweka BARUA ya UTAMBULISHO tena kutoka huko kwenye app ya NaPA imekuwa ni changamoto sana. kwani; 1. Watu wengi hawana kumbukumbu za taarifa zao walizotumia kujaza wakati wa zoezi la anuani za makazi. Hata...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya Utambulisho katika usaili wa utumishi

    Habari wadau, samahani naomba kuuliza kuhusu Barua ya utambulisho kutoka serikali za mitaa inatakiwa iwe na sifa gani ili nipokelewe katika usaili wa utumishi? je inasainiwa na Afisa mtndaji au mwenyekiti wa mtaa ?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka US: Namna ya kuandika reference letter ili kumuongezea mtu uwezo wa kupata shavu

    Habari zenu ndugu zangu! Habari zenu tena! Nimeshiriki kuangalia applications kadhaa za watu kutoka Afrika kuja US hasa wanaotaka kuja aidha kusoma au kufanya exchange program. Jambo kubwa ninalojifunza ni kuwa watu wa huku mbali na mambo mengine wanaangalia sana "reference letters" au zile...
Back
Top Bottom