Barua ya Sakina ya kujiuzulu hii hapa

Status
Not open for further replies.
Hata mimi nakumbuka hiyo coverage ya ITV na balozi wa Palestina - nadhani yule aliyeondoka, siyo huyu, kwani muda umepita kidogo.

Lakini issue ni vipi anaandika barua ya kujiuzulu ndefu hivyo na kutoa malalamiko ya upande mmoja na kuileak (au alitaka iwe leaked) humu JF? Anataka sympathy ya nani? Kama aliyakoroga kule Guardian, basi ni ayanywe tu polepole, kama wanavyofanya wengi, akiwemo huyo mama Mwakitwange aliyetajwa hapo juu -- kimya kimya tu aliondoka New habari, bila kupayuka hovyo!

Hayo ya kumkandia Mengi bila shaka amefundishwa na hao waliomtuma kwenda huko Guardian -- wale mafisadi mapapa. Nadhani itakuwa ni hivyo tu.

Na je kama Barua hii imechomolewa ndani na wafanyakazi wengine wenye bifu na RM kwa sababu ya ujira usiokidhi haja?

Ukiangalia chini kabisa kwenye cc... inaonyesha hii ni ile copy iliyoenda kwa Mr. Mshana, The Guardian MD.

Naomba kuulizwa swali la kiutendaji, Sakina akiamwandikia mwenyekiti, kwenye ajira yake alikuwa anareport kwa Mwenyekiti wa IPP, au kwa MD wa The Guardian?
 
Kasheshe said:
"Na je kama Barua hii imechomolewa ndani na wafanyakazi wengine wenye bifu na RM kwa sababu ya ujira usiokidhi haja?

Ukiangalia chini kabisa kwenye cc... inaonyesha hii ni ile copy iliyoenda kwa Mr. Mshana, The Guardian MD........"

Nikifikiri sana, nadhani Zak yuko right -- huenda hiyo barua imekuwa leaked kimakusudi, pengine kwa agizo mahsusi la RM, ili tuone upumbavu wa huyo mama.
 
Mambo ndiyo hayo!

Mama Sakina.... hizo "Indian tactics" zako unazotumia utawapata tu watu wasiojua undani wenu nyinyi wa asili yenu.... Siyo mimi ambaye nimekaa na nyie magabachori na nawajua in and out. Na yale mambo ya akina Dewji uliyokuwa unaminya kuandika? Hizo ethics zako za uandishi unazodai ziko wapi?
 
Mama Sakina.... hizo "Indian tactics" zako unazotumia utawapata tu watu wasiojua undani wenu nyinyi wa asili yenu.... Siyo mimi ambaye nimekaa na nyie magabachori na nawajua in and out. Na yale mambo ya akina Dewji uliyokuwa unaminya kuandika? Hizo ethics zako za uandishi unazodai ziko wapi?
Mh,

Kwa sasa nakaa mbali na mjadala huu, I am lost!
 
Hiyo ndio TZ yetu, you are either with us or with the terrorists. Waandishi wana kazi kubwa ya kuchagua upande, vinginevyo lazima uandike anachotaka bwana mkubwa.
 
Hiyo ndio TZ yetu, you are either with us or with the terrorists. Waandishi wana kazi kubwa ya kuchagua upande, vinginevyo lazima uandike anachotaka bwana mkubwa.
sio t peke yake ht majuu hivyo hivyo.....mifano unayo......
 
You don't need PhD kufahamu kuwa taaluma ya uandishi wa habari inakiukwa pale Guardian Ltd. Hili lilikuwa ni minong'ono miaka ya nyuma lakini baadae baadhi ya waliokuwa wandishi waliyasema haya na wengine kuondoka kwa kushindwa kufanya kazi pale walipotakiwa kwenda kinyume na misingi ya taaluma zao.

Baadhi yetu tunaomfahamu Sakina tulihisi kuwa hataweza kutekeleza majukumu yake kama ambavyo taalum inamtaka kutokana na historia ya magazeti hayo ilivyosimama. Leo barua ya Sakina inatoa jibu ya swali ambalo lilikuwa ni tata - Je, Sakina ataweza politiki za Guardian Ltd?


Kuhusu barua yake kuwa ndefu na kueleza kwa kina hilo siyo tatizo, nadhani anaelewa kuwa asipotowa maelezo ya kina, basi mambo mengi yatapotoshwa juu yake, nadhani amefanya vizuri na sitegemei kama RM aliendelea kumfurahia Sakina hasa baada ya kuona kuwa angependa kuyaendesha magazeti kwa mujibu wa taratibu zinazozingatia taaluma ya uandishi.


Nadhani RM atakuwa amejifunza kuwa si kila mtu lazima amtumikie yeye kwa kufuata matakwa yake, kuna mambo na watu wengine are very ethical no matter what.
 
tunahitaji kuelewa zaidi kuhusu hili sakata, naona kama kuna pande mbili zinajaribu kuchezeana hapa.
 
bitter sakina
mimi nilazania anaomba kazi, maana yake alivyoanza kujisifia

potential employer akiangalia ile barua ya sakina hawezi kumuajiri kwa ajili anajua siku vikichacha itakuwa mambo ndio kama hayo
ni mwiko kuongea ubaya juu ya previous employer

mtu yeyote profesional hawezi kuandika barua ya kujiuzulu ambayo ina machungu kiasi kile
embu fikiria potential employer anampigia mengi simu anamuomba atoe ref ya sakina datoo,
anyway kwa ajili ataenda kufanya kazi kwa wahindi wenzake kwa hiyo ref sio important

uzuri wa JF kuna watu wanakumbukumbu hicho kipande cha palestina cha uongo kimeshazibitiwa

wahenga wanasema akufukuzae akwambii toka, mengi alivyomshusha cheo akajua mbinu zake zimejulikana. alikuwa hataki kuandika habari za mafisadi wa kihindi

pia inaonekana huyu dada alikuwa na vita na mshana (power struggle).

duniani kote wamiliki wa magazeti wanainfluence kitu kinachoandikwa sio TZ peke yake, lazima rupert muddock akuambie nini anataka uandike
 
Last edited:
To me the worst is the bond relationship of mengi and Israel, mpaka kuchukia palestine ambassador kufika ofisini....ama kweli "we have mafia" pretending to know justice,
Sasa nimeprove mya case "NOT to believe the Mengi" inatosha uhusiano na zionist shame
 
duh!thank you GREAT THINKERS.....
ningesoma habari hii kwenye magazeti ningepata picha mbaya ya kipotoshaji.....nilimuamini sana Sakina LAKINI kwa resignation kama hii ni
 
duh!thank you GREAT THINKERS.....
ningesoma habari hii kwenye magazeti ningepata picha mbaya ya kipotoshaji.....nilimuamini sana Sakina LAKINI kwa resignation kama hii ni unprofessional kabisa hasa kipengele cha kumponda mwajili direct halafu
 
duh!thank you GREAT THINKERS.....
ningesoma habari hii kwenye magazeti ningepata picha mbaya ya kipotoshaji.....nilimuamini sana Sakina LAKINI kwa resignation kama hii ni unprofessional kabisa hasa kipengele cha kumponda mwajili direct halafu unamkabidhi notice ya 1month,hii ni sawa na kusema MAREHEMU alikuwa mtu mbaya
 
duh!thank you GREAT THINKERS.....
ningesoma habari hii kwenye magazeti ningepata picha mbaya ya kipotoshaji.....nilimuamini sana Sakina LAKINI kwa resignation kama hii ni unprofessional kabisa hasa kipengele cha kumponda mwajili direct halafu unamkabidhi notice ya 1month,hii ni sawa na kusema MAREHEMU alikuwa mtu mbaya sana,mzinzi,mlevi,mgovi,pengo lake hatuhitaji kuliziba
 
duh!thank you GREAT THINKERS.....
ningesoma habari hii kwenye magazeti ningepata picha mbaya ya kipotoshaji.....nilimuamini sana Sakina LAKINI kwa resignation kama hii ni unprofessional kabisa hasa kipengele cha kumponda mwajili direct halafu unamkabidhi notice ya 1month,hii ni sawa na kusema MAREHEMU alikuwa mtu mbaya sana,mzinzi,mlevi,mgovi,pengo lake hatuhitaji kuliziba

sorry for unintended repeatition above
 
Kwanza kwa mliosoma watergate, mtoa habari ni deepthroat, kajiunga jana jf, kabandika conf letter ya Sakina copy iliyoenda kwa Mshana, prof.esionally sijafurahishwa na uwazi wa namna hii, ustaarabu ilikuwa nu kuipara phrase, this is unfair to Sakina, Mshana na Mengi.
Sakina amethibitisha tena kuwa yeyte ni mwanamke wa shoka, kwa barua hii, ndio katangaza vita na Mangi, subirini muone atakavyo mshukia.
Nadhani hata uenyekiti wa Jukwaa (Puppet la Mangi) la wahariri ndio basi tena!.
Namuunga mkono Sakina kutoa yaliyomoyoni mwake, japo sijapenda uchonganishi wake kwa Mshana na Mangi, lakini pia ametoa mwanga kidogo what really Mangi is.
Niliposikia .amejiunga IPP, nilipokutana naye nilimweleza it was a wrong move. Ukijua kilichomfika Wenz Mushi akiwa boss ITV na Joyce chini yake, sasa Mushi kashushwa chini na Joy juu yake. Sambamba na Vumi juu Kiondo chini, mara Vumi chini, Kiondo juu, na b.arua ya Sakina suggested that Kiondo alikuwa chini.
Naamini waandishi wote wazuri kwenye IPP media, wanaojidhania wamesimama, na waangalie wasianguke.
Mangi alimchukua 'Kina for a mission. Mission completed 'Kina redundanty amelijua hilo na kujingatua mwenyewe kabla ya kufanywa dekio.
Niliwahi kusema mahali, the colors za Mangi, sio true colors, as time goes by, the paited colors zitafade away with time and the true colors underneth will resurface and be visible with naked ayes.
Yetu macho!.
 
To me the worst is the bond relationship of mengi and Israel, mpaka kuchukia palestine ambassador kufika ofisini....ama kweli "we have mafia" pretending to know justice,
Sasa nimeprove mya case "NOT to believe the Mengi" inatosha uhusiano na zionist shame
do not conclude like that, mi bado siamini kama IPP media wanashida na Palestinians, nakumbuka pia kuna kipindi kilikuwa kinaendeshwa na dada mmoja very active kiliitwa 'the diplomat' aliwahi kumhoji balozi wa palestina for one hr kwenye itv. ukishaona uwongo mmoja yale ambayo hauna uhakika unachanganya kulekule kwenye uwongo....huyu mdada alidhibitiwa na mapapa wa kiasia anatudanganya tu hapa...kitu kuandika habari za Mshana kwa Mengi na tena kumcopy Mshana hii ni kama kuivuruga kampuni na inawezekana kweli ametumwa....
duh kweli kuishi kwingi kuona mengi sikuyajua haya...
 
Sakina kaeleza mazuri yake yote kadri alivyoona yanapaswa, thats great. Lakini bahati mbaya hatufahamu weakness zake....ambazo bila shaka zipo. Pili, hizo success zote alizotaja its okay but watu hufanya kazi kama team work, sio kweli mawazo yake tu ndio yalileta success zote hizo, bali michango ya wenzake pia. Kuhusu hiyo collision ya mwisho sababu ya kuhost balozi wa Palestina ameona ni gia tu ya kutokea kwa vile alishasema tangu mwanzo walipingana kuhusu magazeti ya udaku.... na kwa hali ilivyo sasa Mengi Vs Mafisadi sio rahisi kwa Mengi kumsikiliza Sakina juu ya hilo. So Mengi alipoona Sakina anasumbua kuhusu hizo issues then akaona amweke pembeni, lakini as usual tumezoea kupanda, so mtu akiona anashuka anaona bora ajiachie..

Mtizamo wangu, naweza kupingwa..

Mengi alimnunua Sakina kwa uwezo wake wa kazi, Sakina alilifanya Mwananchi kuwa gazeti bora na la kwanza kwa mauzo.Sakina hakujipeleka, alifuatwa kwa donge nono. kazi kaifanya na yeye ndiye alikuwa bosi mpe haki yake.

lazima Mayahudi wangechukia kwani huwezi kujua hayo magazeti labda ni ya mayahudi na MENGI ni kidampa wao tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom