Domo Kaya
JF-Expert Member
- May 29, 2007
- 531
- 59
Hivi huyu jamaa ni kweli alitenda hayo makosa? Mbona hazungumzii lolote kuhusu hilo?
Yote yanawezekana, anajua yeye na mungu wake
Hivi huyu jamaa ni kweli alitenda hayo makosa? Mbona hazungumzii lolote kuhusu hilo?
Lakini mbona hiyo barua ni very simpo one ..mie nimeisoma naona kama barua ya kawaida saaana ,,mheshimiwa anaweza kuisoma na kuweka pembeni ..hebu aandike nyingine yenye kuonyesha msisitizo ....
inagusa!..
Lakini kwanini iwekwe kwa jaydee kwanza?
Jaydee ana mawsasiliano gani na ikulu, au mkulu wa nchi husoma sana blogu ya jd?
Hapo nifafanuliwe!
zinduka.
Mwacheni ale mvua zake. kuna wangapi waliosingiziwa kesi na wanakula mvua bana. huyu mahakama imemuona ana hatia sasa hukumu inatenguliwa kwa kipande cha karatasi chenye maandishi yafananayo na barua?
Makulu,
ninacho jiuliza ni kwamba je,itakua 'immorality' ya Presedent wetu kufungua website kama mfano Jamii Forums au Blog ya Jaydee na zinginezo ambazo maudhui yake sio yale wengi wetu tuna ya-consider mabaya?
Huko akikuta malalamiko ya wananchi wake juu ya utawala wake na hata wale wenye kutafuta njia ya kuwasiliana nae wakati hawawezi kufanya hivyo (kama alivyo fanya Papii Kocha)wakati pale mezani anayo computer yenye access ya internet
Ati nini......!?
Hivi blogu ya jd kuna terms of use ya chochote anachoweka pale ? Je kuna maelezo ya ziada ya jinsi anavyopokea barua na mengine ambayo amebandikakwenye blogu yake ? Tukijua hilo litasaidia sana blogu nyingi hazina tou hata tovuti na forums hichi ni kitu cha kuangalia sana
maelezo yako yana kanganya kidogo sijakuelewa mkuu