Doppelganger
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,858
- 759
Katiba inamruhusu RAIS wa nchi kumpunguzia au kumfutia MTU yoyote adhabu aliyopwea na mahakama......Rais hayuko juu ya sheria. Kama wameona wameonewa wajenge hoja ktk mfumo uliopo wa kisheria ili haki itendeke. Wakiona wameshindwa huko basi watuone tuwaunganishe na wataalam wa popobawa ili mhusika wa maonevu nae apewe dozi/