Una uchawa kwa asilimia kubwa sanaDr.omari Alli juma unamkumbuka!!?what if team kizimkazi wakaamuz ku balance equation!!
Kuna kitu watanzania bara hawajui!
Hii team inalipa kisasi cha uchungu wa miaka mingi kwa katiba ile ile iliyotumika kwa miaka mingi kuwaumiza watu wao kama kina Abood jumbe,omari Ali juma,maalim seif n.k!!
Watanganyika wengi ni mbumbu Hadi viongozi washauri hawaelewi!!
Watanganyika tumefika huku wa upumbavu wetu coz hatukutarajia hata siku Moja mzanzibari anaweza kuwa Rais kwa katiba hii ,tiliamini tutapanga mambo dodoma na hawana ujanja sasa ule mwanya wameupata nakwambia tuweni wapole Tena Kwa makelele na kupanic kwetu kianza kudai katiba mpya ndio tunaharibu!!
Tutulie tuwe wapole Hadi wao wenyewe waone wapo safe kama wao walivyokaa kwa miaka mingi Hadi Mungu alipowakumbuka ndio turekebishe katiba!!
Kwa Sasa kwatiba Ina wa favor wao hawawezi UNGA mkono juhudi za kuibadili na kama wakitaka wataifanya kwa mfumo unaowa favor wao!!
Nimefurahishwa sana na SIMBACHAWENE ile ndio njia pekee ya kuishi nao kwa sasa hakuna nyingine mkileta hizo suuu mtahatarisha maisha ya hata hai wachache waliopo kwenye system hasa watanzania bara!!
Akili kumkichwa!!
Yanga bingwa...Dumbia ni wa muheza!Tetesi za soka
Wenye akili wananielewa!!Simbachawene ametuwakilisha vizuri!!Una uchawa kwa asilimia kubwa sana
We ni mnufaika wa madhila haya ndio maana unajiona una akili sana, ebu tuache basi tuuawewe ubaki wewe sawa!Wenye akili wananielewa!!Simbachawene ametuwakilisha vizuri!!
Yana mwisho mzee, wala hayana muda mrefuDr.omari Alli juma unamkumbuka!!?what if team kizimkazi wakaamuz ku balance equation!!
Kuna kitu watanzania bara hawajui!
Hii team inalipa kisasi cha uchungu wa miaka mingi kwa katiba ile ile iliyotumika kwa miaka mingi kuwaumiza watu wao kama kina Abood jumbe,omari Ali juma,maalim seif n.k!!
Watanganyika wengi ni mbumbu Hadi viongozi washauri hawaelewi!!
Watanganyika tumefika huku wa upumbavu wetu coz hatukutarajia hata siku Moja mzanzibari anaweza kuwa Rais kwa katiba hii ,tiliamini tutapanga mambo dodoma na hawana ujanja sasa ule mwanya wameupata nakwambia tuweni wapole Tena Kwa makelele na kupanic kwetu kianza kudai katiba mpya ndio tunaharibu!!
Tutulie tuwe wapole Hadi wao wenyewe waone wapo safe kama wao walivyokaa kwa miaka mingi Hadi Mungu alipowakumbuka ndio turekebishe katiba!!
Kwa Sasa kwatiba Ina wa favor wao hawawezi UNGA mkono juhudi za kuibadili na kama wakitaka wataifanya kwa mfumo unaowa favor wao!!
Nimefurahishwa sana na SIMBACHAWENE ile ndio njia pekee ya kuishi nao kwa sasa hakuna nyingine mkileta hizo suuu mtahatarisha maisha ya hata hai wachache waliopo kwenye system hasa watanzania bara!!
Akili kumkichwa!!
We kimavi huo ni uwongo wako uliojitungia. Ni mazuzu na nyumbu wenzako ndiyo watakuunga mkono maana JG imekuwa jukwaa la wapuuzi km weweNchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.
Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea
Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025
Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.
Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.
Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU
Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi
Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania
Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Hv ni mwehu gani ataamini huu uchafu wako? Huoni ht aibu kuandika huu ushamba?Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.
Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea
Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025
Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.
Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.
Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU
Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi
Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania
Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Barua Iko wapi!!?kama ishavuja!!?
Sio kweli hawezi kuandika zaidi ya kile alichokipandisha kwenye account yake na account rasmi za ofisi yake..Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.
Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea
Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025
Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.
Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.
Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU
Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi
Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania
Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Aloo dumbia amepewa jogoo etyYanga bingwa...Dumbia ni wa muheza!
Imevuja tupatieNchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.
Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea
Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025
Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.
Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.
Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU
Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi
Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania
Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Ni aibu kubwa sana na ni kudogosha kwa kiasi kikubwa mamlaka ya nchiBila kudai "proof of life", kimzaha mzaha jamaa tunaweza tusimuone wala kumsikia tena na wenyewe watapiga mute kama Polepole.
Watakuwa wanaibuliwa watu waje kusema mambo ya kizuizini kumbe ndiyo ntolee hiyo.
Nimeona Instagram Maria Sarungi anasema tumeshinda sikumuelewa au ndio hiyo baruaNchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.
Ndani yake kazungumzia
Ufisadi unaendelea
Mauaji ya raia wasio na hatia ya October 29/2025
Amezungumzia utekaji
Amezungumzia katiba mpya.
Lakini kubwa amezungumzia CCM kujiondoa kuwa chama na kuwa chini ya dollar.
Kazungumzia kesi za mchongo za LISSU
Amezungumzia vifo vya Mashakaka vya Magufuli, Lowasa, Ndungai, kijazi, na wengine wengi
Amesema CCM haiwezi kushinda uchaguzi wowote kwa sababu imejiondoa kwa watanzania
Kaongea mambo mengi mazito ndio maana yupo chini ya ulinzi mkali kwa hofu ya kuvujisha Ile barua lakini wanashindwa kufahamu kuwa barua ishavuja tayari.
Hii kama inakuja vileNchimbi hajaandika barua yoyote ya KUJIUZULU
Nchimbi sio Kilaza, anajua vizuri umafia wa nchi hii, angekua kaamdika hiyo barua ndefu kwa u smart wake kabla haijaenda public kupitia serikali ingekua tayari iko sehemu zingine credible kwa lolote litakalo tokea
Nchimbi aliwekwa kizuizini akaondolewa access ya mawasiliano kisha wasiojulikana wakaandika kwenye Insta yake akiwa kizuizini
Kwa sasa wanamsikilizia kama atapoa kama Ndugai wamuachie aendelee na marupu rupu yake kama Makamu mstaafu…….. akikomaa atakuja kuibukia mahakamaniiiii kwa kesi ya uhasi kama sio uhaini
Hii nchi ya kimama sana aiseeee
Tetesi za soka
Mwenye nayo tafadhali,kwani mabalozi ni 🔥🔥🔥Nchimbi aliandika barua ndefu ya kujiuzulu yenye kurasa nyingi yenye maelezo mengi kwanini anaondoka.